• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango

KAMATI YA FEDHA,UONGOZI NA MIPANGO

Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ni miongoni mwa kamati za kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. Kamati hii inaundwa na Wenyeviti wa kamati  tano  za kudumu na wajumbe wanne (04) wanaoteuliwa na Mwenyekiti kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na  hiyo kamati hukutana kila mwezi mara moja.


NA

JINA

CHEO

WADHIFA
1
Mhe. Safari N. Mayala
Diwani kata ya Busonzo
Mwenyekiti
2
Mhe. Lameck Warangi
Diwani kata ya Ushirombo
Mjumbe
3
Mhe. Masanja Maduhu
Diwani kata ya Runzewe Mashariki
Mjumbe
4
Mhe. Leokadia Kasase
Diwani V/Maalumu Katente
Mjumbe
5
Mhe.Erick Emily Kagoma
Diwani kata ya Bulega
Mjumbe
6
Mhe.Kipara Siyantemi
Diwani kata ya Ng'anzo
Mjumbe
7
Mhe.Pili Kondela
Diwani V/Maalumu Iyogelo
Mjumbe
8
Mhe.Elizabeth Ngasa
Diwani V/Maalum Uyovu
Mjumbe
9
Mhe.John Nguhi
Diwani kata ya Runzewe Magharibi
Mjumbe


Majukumu ya jumla

  • Kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali za Halmashauri kwa kupitia vikao vyake. 

Majukumu maalumu ya kamati;-

  • Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato.
  • Kuwasilisha mapendekezo ya bajeti na mpango wa maendeleo kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri.
  • Kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri,ukusanyaji wa mapato,kufuta madeni na kuomba vibali maalumu kwa matumizi yanayohitaji kibali cha Waziri mwenye dhamana ya Serikali Mitaa.
  • Kufikiria na pale inapowezekana,kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu Sheria Ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri.
  • Kupokea na kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha (re-allocation) yaliyopo katika makisio yaliyoidhinishwa na kuyapeleka Halmashauri.
  • Kufikiria na kupendekeza kwenye Halmashauri mikopo yote ya Halmashauri.
  • Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri.
  • Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa sharia ya fedha za Serikali za Mitaa,Sura ya 290.
  • Kupokea na kujadili taarifa za wakaguziwa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mijibu wa Sheria za Serikali za Mitaa,Sura ya 290.
  • Kusimamia na kudhibiti matumizi ya fedha za Halmashauri,kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na Waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri.
  • Kupitia marekebisho yote yaliyopendekezwa hususan kuhusu taratibu za fedha,ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha ambapo kanuni mbalimbali za manunuzi ya mali na vifaa hutumika.

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021,Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Tanzia July 02, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda September 22, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa Halmashauri ya Bukombe kwa mwaka 2020/2021

    November 10, 2020
  • DC Nkumba atoa pongezi kwa NHIF

    August 30, 2020
  • DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

    August 29, 2020
  • "Uchaguzi hausimamishi shughuli za Maendeleo" DC Nkumba

    August 21, 2020
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa