• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BUKOMBE INATARAJIA KUTOA HATI MILIKI 50,000 KUPITIA MRADI WA LTIP

Imewekwa: June 27th, 2024

Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi unatarajia kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha viwanja visivyopungua 50,000 katika kata 9 za Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Hayo yamebainishwa leo tarehe 27 Juni, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wa kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa milki za ardhi uliofanyika katika ukumbi wa CCM Wilaya.

Aidha Muragili amewataka wadau wa ardhi kutumia fusa hiyo adimu ili kupata milki za ardhi na kuboresha usalama wa milki hizo kipindi ambacho mradi utakapokuwa unatekelezwa.

“Tushirikiane kutekeleza vizuri mradi huu ili tuweze kupata matokeo chanya katika utekelezaji wa mradi huu”.

Vilevile Muragili ameongeza kwa kusema kuwa upatikanaji wa hati milki utaongeza thamani ya ardhi na mapato ya halmashauri yataongezeka.

Kwa upande wake kamishna wa ardhi msaidizi mkoa wa Geita Bw. Rugambwa Banyikila amesema kuwa mradi huu utaenda kutatua changamoto baina ya wakulima na wafugaji kwani wananchi watakuwa na uhakika wa milki zao.

Aidha Banyikila amesema kuwa katika mradi huu wananchi wataenda kupata hati za kielektroniki tofauti na ilivyokuwa hapo awali.

Naye Afisa Mipango miji Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Paulo Kitosi amesema kuwa kwa awamu hii ya kwanza ya kuanzia Julai 2024, mradi unatarajia kutoa hati milki zaidi ya 30,827 ambapo viwanjwa vitapangwa na kupimwa.

Kata  zinazotarajiwa kupatiwa hati milki katika mradi huu ni Kata ya Lyambamgongo, Igulwa, katente, Bulega, Runzewe Mashariki, Runzewe Magharibi, Bulangwa, Namonge na Uyovu.


















Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa