• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC MURAGILI ASISITIZA KUZINGATIA ULAJI WA MAKUNDI SITA YA VYAKULA

Imewekwa: October 31st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili amewataka Wananchi kuzingatia mlo kamili wenye makundi yote sita ya vyakula ili kuwa na jamii yenye Afya bora.

Hayo ameyasema tarehe 30 Oktoba, 2024 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa ambapo kwa Wilaya ya Bukombe yameadhimishwa katika Kijiji cha Namalandula Kata ya Namonge.

“Ninaomba tuzingatie maelekezo tunayopewa na wataalamu katika kuandaa Lishe bora hasa kwa watoto kwani mtoto asipopata Lishe nzuri hata makuzi yake hayatakuwa mazuri na pia ubongo wake hautakuwa imara”.

Aidha Muragili amewataka wakina mama wajawazito kuzingatia Lishe kwa kipindi cha siku 1000 za mwanzo tangu mtoto akiwa tumboni ili kuondoa tatizo la udumavu wa akili na kumjengea mtoto Afya bora.

Vilevile Muragili amewataka Wananchi kutumia elimu waliyopatiwa katika kuandaa Chakula na kuendelea kushiriki kwa wingi katika Siku ya Afya ya Lishe (SALIKI)yanayofanyika kila robo kwa kila kijiji.

Naye Afisa Afya (W) Ritha Mlay kwa niaba ya Afisa Lishe amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kuijengea jamii uelewa juu ya maswala ya Lishe na kutoa elimu sahihi ya ulaji kwa kuzingatia mwongozo wa Kitaifa wa ulaji wa chakula.

Pia amesema kuwa takwimu za mwaka 2023/2024 zinaonyesha asilimia 147 ya watoto chini ya miaka mitano wamepewa mayone ya nyongeza za vitamin A na pia idadi ya watoto wenye utapiamlo mkali imepungua kutoka 23 kwa mwaka hadi kufikia watoto 15 sawa na asilimia 0.01 aidha wajawazito 57812 wamepewa vidonge vya kuongeza wingi wa damu sawa na asilimia 97.61 ya wajawazito wote.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu isemayo Mchongo ni Afya yako, Zingatia unachokula.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa