• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba afanya mkutano na wafanyabiashara wa ushirombo

Imewekwa: September 24th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Said Nkumba amekutana na wafanyabiashara wa mji wa Ushirombo leo, kwa lengo la kujitambulisha kwao lakini pia kusisitiza umuhimu wa ulipaji kodi kwa maendeleo ya wilaya ya Bukombe, na amewataka wafanyabiashara ambao sehemu zao za biashara zinajulikana kuwa na mashine ya EFD kwa mujibu wa sheria ili mteja anaponunua bidhaa apatiwe risiti.

Aidha Mkuu wa Wilaya amemtaka Afisa Utadamuni kutotoa vibali vya mchezo wa kamali kwani umewafanya vijana wengi wa wilaya hii, hususani wale wa Ushirombo kuacha kufanya kazi badala yake wamekuwa wakishinda katika banda la kamali hiyo “ Afisa tamaduni Maarufuku kutoa kibali kwa wacheza kamali wilayani hapa, na sitaki kuona mchezo huo ukiendelea hawa vijana ni nguvu kazi ya Taifa” alisema Mkuu wa wilaya

Pia amepiga marufuku wamiliki wa kumbi za starehe kuleta wacheza show za Khanga maarufu kama” baikoko” ndani ya wilaya ya Bukombe” Sitakubali wanawake kuendelea kudhalilishwa ndani ya hii wilaya tafuteni bendi zenye heshima muweke muziki sio watu wanaocheza nusu utupu” alisisitiza Mkuu wa wilaya

Akihitimisha Kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amewakaribisha wafanyabiashara wote hususani wale wanaojishughulisha na Uchimbaji wa Madini kuhudhuria Maonesho ya Teknolojia ya Uzalishaji wa Dhahabu kwa Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi wa Viwanda Yatakayofanyika Mkoani Geita Viwanja vya CCM Kalangalala.

                               Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba akiongea na wafanyabiashara wa Ushirombo.

                                                                Wafanyabiashara wa Ushirombo wakiwa kwenye kikao na Mkuu wa wilaya.

                                                                                                       Mfanyabiashara na mmilili wa Nyumba za wageni.

                                                                 Wafanyabiashara wa Ushirombo wakiwa kwenye kikao na Mkuu wa wilaya.

                                                                                                             Mfanyabiashara akitoa changamoto zake.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa