• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba awataka Madiwani kushirikiana na wataalamu.

Imewekwa: February 22nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba amewataka Wahe. Madiwani kushirikiana na wataalamu ambao wamepewa mafunzo kwa ajili ya kutekeleza zoezi la Mfumo wa Anwani za Makazi.

"Viongozi wenzangu mna majukumu makubwa ya kuhakikisha mnafanikisha dhamira ya serikali ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi ili washiriki katika kujiwekea miundombinu ya mfumo.Hivyo naomba mkashirikiane na wataalamu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hili."

Nkumba ameyasema hayo leo tarehe 22 Februari, 2022 katika Baraza Maalumu la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe lililoshirikisha Wazee Maarufu pamoja na Viongozi wa Madhehebu ya Dini.

Aidha amesema hata mvumilia mtu yoyote atakayepanga njama za kukwamisha zoezi hilo ndani ya Wilaya.

"Sitamvumilia mtu yoyote atakayekwamisha zoezi hili. Kila mtu aguswe kwa maslai ya wanabukombe na Taifa kwa ujumla."

Awali Diwani wa kata ya Ushirombo Mhe.Rameck Warangi aliahidi kutoa ushirikiano na kwenda kwa wananchi kutoa elimu.

" Mimi nipo tayari kutoa ushirikiano kwa ajili ya maslai mapana ya Taifa pamoja na wananchi katika kata yangu."

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe.Yusuph Mohamed Yusuph amewataka viongozi wa Madhehebu ya Dini kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha zoezi hilo kwani litarahisisha upatikanaji, utoaji na ufikishaji wa huduma katika maeneo mbalimbali na kurahisisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi.

Mfumo huu wa Miundombinu unatambulisha mtu alipo,anapopatikana ama anapotakiwa kuhudumiwa (nyumbani, ofisini ama eneo la biashara).

Imetolewa na -:

Kitengo cha TEHAMA

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 22 Februari, 2022.   



Matangazo

  • Ufafanuzi wa Habari iliyochapishwa kwenye tovuti ya Mwananchi Communication ltd October 13, 2021
  • Tangazo la Kazi October 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wanawake Wajasiriamali Wapatiwa Mafunzo.

    March 01, 2022
  • DC Nkumba awataka Madiwani kushirikiana na wataalamu.

    February 22, 2022
  • Watumishi Wapewa Elimu Kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi

    February 21, 2022
  • Walimu wa Michezo Watakiwa Kuibua Vipaji

    February 19, 2022
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa