• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba azindua ukamilishaji wa Miundombinuya Maabara 7

Imewekwa: June 29th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba tarehe 29 Juni, 2021 amezindua ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu ya maabara 7. Uzinduzi huo umefanyika katika shule ya sekondari Bukombe.Maabara zilizozinduliwa ni za shule ya sekondari Businda, Busonge, Butizya, Bosonzo, Namonge na Bukombe zilizopokea kiasi cha shilingi milioni 30 kutoka Serikali Kuu kwa kila shule moja.

Nkumba amewapongeza viongozi kuanzia ngazi ya kitongi hadi Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya  kwa usimamizi  na ufuatiliaji mzuri wa miradi ya maendeleo

." Hongereni sana kwa utekelezaji wa Miradi ya heshima.Miradi ikikamilika kwa heshima sisi ndiyo tunaopata heshima"Pia ameipongeza kata ya Namonge usimamizi wa miradi ya maendeleo na kubakiza fedha."

Naipongeza sana kata ya Namonge kwa namna ya kipekee kwa kuwa taa katika Wilaya yetu kwani imebakiza fedha katika miradi yote wanayoitekeleza. Haya mambo yote yanawezekana kwa kujituma na kushirikisha wananchi.

Aidha amezitaka kamati zote za ujenzi kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa kwenye maoneo yao inashirikisha nguvu za wananchi ili kuhakisha kuwa fedha zote zinazokuja kutoka serikalini ziweze kubaki na kutekeleza miradi mingine kwa ubora uliokusudiwa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Bukombe amezipongeza kamati zote za ujenzi wa miundombinu ya Maabara kwa kukamilisha miradi hiyo katika hali ya ubora na kubakiza fedha."Wakati mnasoma taarifa zenu kwa mgeni rasmi nimesikia kuwa mmebakiza kiasi cha fedha. Hongereni sana."

Akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu 12 ya vyoo katika shule ya sekondari Katente Mhe.Diwani wa kata ya Katente Tabu kasuluzu Ng'hwani ameuomba uongozi wa halmashauri kwasaidia ukamilishaji wa utengenezaji wa viti na meza katika chumba kimoja cha darasa.

"Tulipokea kiasi cha shilingi milioni 40 kwa ajili ya utekelezaji wa vyumba viwili vya madarasa, kwa kushirikisha nguvu za wananchi tumeweza kuongeza chumba kimoja cha darasa hivyo tunaomba halmashairi iweze kutusaidia ukamilishaji wa viti na meza katika chumba kimoja."

Ujenzi wa Maabara kwa shule za sekondari katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kutachochea idadi kubwa ya wanafunzi kupenda kusoma masomo ya sayansi na kuchochea ufaulu wa wanafunzi.




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa