• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DKT. BITEKO AMEWATAKA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Imewekwa: July 22nd, 2024

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Mhe. Doto Biteko amewataka wananchi wa Wilaya ya Bukombe kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa  kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

"Wale wote wenye sifa ya kuandikishwa na  wenye uhitaji wa kuboresha taarifa jitokezeni ili tupate haki ya kikatiba ya kupiga kura."

Hayo ameyasema tarehe 21 Julai, 2024 wakati akiongea na wananchi wa Kata ya Lyambamgongo Wilayani Bukombe Mkoani Geita.

Aidha amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanachagua viongozi  bora ambao watawaletea maendeleo.

" Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hakikisheni mnatumia nafasi hii vizuri. Msichague viongozi kwa sababu ya kabila wala dini bali mkachague viongozi kwa kufuata misingi ya haki na watakaowaletea maendeleo."

Pia amewapongeza watumishi wa Wilaya ya Bukombe kwa kutekeleza majukumu yao vizuri hasa kwa kuhakikisha tunapata matokeo mazuri ya kidato cha sita.

" Tumefanya vizuri katika matokeo ya kidato cha sita 2024 kwa kutokomeza daraja IV na sifuri na kuhakikisha shule ya sekondari Bukombe inashika nafasi ya 48 Kitaifa."

Vile vile amewapongeza Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Divisheni na Vitengo kwa  uibuaji wa miradi na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

" Hongereni sana kwa kufanya kazi kwa ufanisi, leo tunaiona Bukombe mpya ambapo hapo zamani mambo yalikuwa magumu kwani kulikuwa hakuna barabara , umeme wala zahanati za kutosheleza mahitaji ya wananchi."

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko katika Wilaya ya Bukombe anaendelea na ziara yake leo tarehe 22 Julai, 2024  kataka kata ya Namonge kijiji cha Ilyamchele na  tarehe 23 Julai, 2024 katika kata ya Runzewe Magharibi kijiji cha Msangira.

#KusemaNaKutenda

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa