• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Bukombe Kuridhishawa na Miradi ya Maendeleo

Imewekwa: September 14th, 2022

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi bwana Daniel Machongo ameipongeza serikali ya Mhe.Rais Samia  Suluhu Hassan kwa kuleta fedha kwaajili ya miradi ya maendeleo wilayani Bukombe na kumpongeza mhe. Mbunge Doto biteko pomoja na madiwani kwa usimamizi mzuri  katika Ujenzi wa miradi hiyo ya maendeleo.

Ametoa pongezi hizo katika ziara ya kamati ya siasa pamoja na baadhi ya wakuu wa idara na baadhi wataalamu kutoka halmashauri ya kutembelea miradi ya maendeleo tarehe 15 Agosti 2022 wilayani Bukombe.

"Naipongeza serikali ya awamu ya Sita ya mama Samia  Suluhu kwa kazi kubwa inayofanya kwaajili ya kuwasaidia wananchi wake kwa kuleta miradi ya maendeleo wilayani kwetu, pia nampongeza Mhe. Mbunge Doto Biteko ,mkuu wetu wa Wilaya Mhe Said Nkumba, wahe. Madiwani pamoja na wa kuu wa vitengo wa serikali kwa ushirikiano wao kuhakikisha miradi ya maendeleo inakamilika kwa wakati, ningependa huu ushirikiano uendelee ili tuweze kufanya mambo makubwa zaidi."

Nae Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Odilia Batolomeyo amewataka wananchi kutumia vizuri miradi ya maendeleo inayo tekelezwa na serikali ikiwemo miradi ya Vituo vya Afya haswa kwa wamama wajawazito ili waweze kujifungua katika hali ya usalama.

"serikali inatuletea miradi ya maendeleo kwa ajili yetu wananchi niwaombe  tuitunze vizuri miundo mbinu yetu kwaajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye, lakini pia niwashauri wakina  mama na wakina dada pale unapogundua kuwa wewe ni mjamzito hakikisha unafika mapema kituo cha Afya ili uweze kupata muongozo mzuri  wa kuilinda na kuitunza afya yako pamoja na afya ya mtoto wako." Amesema Odilia.

Aidha mjumbe wa Chama Cha Mapinduzi na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba amewashukuru wananchi wa Bukombe kwa kujitolea katika shughuli mbali mbali za Ujenzi wa miradi ya maendeleo inayo letwa na serikali kuu na kuishukuru serikali ya halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kwa kutenga fedha kwaajili ya kukamilisha baadhi ya  miradi wilayani lakini pia  amewashukuru GGM( Geita Gold Mining) kwa fedha walizo wachangia kwaajili ya kukamilisha mradi wa kituo cha Afya cha Msonga kata ya Runzewe magharibi.

Wanakamati wa Siasa wilayani bukombe wameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo ya maendeleo ambayo ni pamoja na Ujenzi wa kituo cha Afya kata ya Namonge, Ujenzi wa kituo cha Afya kata ya Runzewe Mashariki kijiji cha Msonga, Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura(EMD) katika hospitali  ya Wilaya ya Bukombe, Ujenzi wa miundombinu ya shule ya sekondari Ng'anzo, pamoja na Ujenzi na ukarabati wa nyumba za watumishi (walimu) shule ya sekondari Businda inayo gharimu zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 1.57.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa