• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Misitu ni Kichocheo cha Taifa Letu - DC Nkumba

Imewekwa: June 17th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba  amewataka wananchi kuacha tabia ya kuvamia maeneo ya uhifadhi na kuanzisha shughuli za kibinadamu kinyume na sheria kwani kwa kufanya hivyo kunarudisha nyuma shughuli za uhifadhi katika Wilaya ya Bukombe.

"Misitu ni kichocheo cha Uchumi katika Taifa letu tuache tabia ya kuvamia maeneo ya hifadhi kinyume na sheria"

Nkumba ameyasema hayo  tarehe 17 Juni, 2021 akiwa na  kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya wakati akiongoza doria ya kuangalia hali ya uhifadhi katika Msitu wa Bihalamulo - Kahama uliopo halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Aidha  ameshuhudia uhalibifu Mkubwa unaotokana na shughuli za kibinadamu zikiwemo shughuli za kilimo, Makazi na uchimbaji madini katika maeneo ya  Bwawani, Mabatini, Mabogo, Njia tatu na Mwanikembo.Hata hivyo ametoa siku 14 kwa wavamizi wa maeneo ya hayo kuhama mara moja na amewataka kuanzisha shughuli za kibinadamu kutika maeneo mengine ambayo hayaingiliani na uhifadhi.

" Lazima tuheshimu sheria za nchi,  sisi kama Serikali hatutaki kutumia nguvu kwa wananchi wetu hivyo basi natoa siku 14 za kuhama kwa hiyari."

Aidha amelaani tabia ya baadhi ya watu ambao ni matapeli kuhalalisha maeneo ya uhifadhi na kuyafanya kuwa mazingira halali ya shughuli za kilimo, mifugo na makazi ili kuvuruga mahusiano mazuri kati ya wananchi na serikali yao.

Kwa upande wake Muhifadhi Misitu Wilaya ya Bukombe Emiliana Alex amewapongeza wananchi wa Nampalahala kwa ushirikiano mzuri wanaoutoa kwenye maeneo ya uhifadhi na amewataka kuendelea kutoa taarifa ili kuendelea kulinda misitu.

"Sisi kama serikali tayari tumeishatengeneza Madawati 200 kwa ajili ya shule mbili na hii ndiyo faida ya kutunza hifadhi zetu."

Wilson Maganigo mkazi wa kitongoji cha Idoselo ameiomba serikali kuweka mipaka katika kitongoji chao ili wasiingilie na maeneo ya uhifadhi.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa