• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi wa Kata ya Ng'anzo Waahidiwa Milioni Tatu

Imewekwa: February 16th, 2022

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwimba amewaahidi wananchi wa kata ya Ng'anzo kulipa shilingi milioni 3 kwa ajili ununuzi wa hekari zaidi ya sita za upanuzi wa eneo la shule mpya ya sekondari Ng'anzo kupitia mapato ya ndani ambalo lilitakiwa kulipwa kupitia michango ya wananchi.

Mwalwimba alifikia maamuzi hayo baada ya kuona mwitikio wa wananchi waliojitokeza kuchimba msingi wa vyumba 8 vya madarasa , matundu 20 ya vyoo, maktaba, Jengo la TEHAMA na Jengo la utawala wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa shule mpya ya Nga'nzo tarehe 15 Februari, 2022.

Akiongea katika zoezi hilo Diwani wa kata ya Ng'anzo Mhe. Mashaka Shig'wenda alisema, "Wananchi walichanga shilingi milioni 9.5 kwa ajili ya kununua eneo la shule lenye ukubwa wa hekari 22 huku mahitaji yakiwa ni hekari 28. Halmashauri ikitulipia milioni 3 tutakuwa tumetatua changamoto ya ufinyu wa eneo.’’

Naye Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amewashukuru wananchi kwa ushiriki wao wa kuja kumuunga mkono Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia amewaomba wananchi kuendelea moyo huo huo wa kizalendo wa kushiriki katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

"Tuendeleze tabia yetu ya kujitolea, kwenye suala la kujitolea hatutarudi nyuma na hii imekuwa ni tabia ya wanabukombe ya kuona miradi inayoletwa na serikali ni ya kwetu."

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe awamu ya kwanza ilipokea kiasi cha shilingi milioni 470 na inatarajia kupokea tena kiasi cha shilingi milioni 130 kwa ajili ya kukamilisha mradi.

MWISHO


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa