• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI HAIJATOA MAAGIZO KUWAONDOA KAZINI WALIMU WA CHETI - MAJALIWA

Imewekwa: October 12th, 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijatoa maagizo ya kuwaondoa kazini walimu wa cheti bali amewataka watumie mpango wa mafunzo endelevu kazini kwenda vyuoni kusoma .

Amesema Serikali imefanya maboresho ya sera na mitaala ya elimu nchini ambayo pamoja na mambo mengine imeleta mabadiliko katika sifa za chini za mwalimu katika shule za msingi kuwa Stashahada / Diploma ." Pamoja na mabadiliko haya , Serikali inatambua kuwa bado wapo walimu ambao hawajafikia sifa ya kuwa na Astashahada au Diploma na hakuna agizo la kuwataka waondolewe katika ajira ," amesema .

Amesema walimu wote ambao hawana sifa ya Astashahada au Diploma watumie fursa ya mpango wa mafunzo endelevu kazini kwenda vyuoni kusoma ili kupata sifa ya diploma au kujiendeleza kupitia moduli kwa mfumo wa LMs- Learning Management Systemchini ya Taasisi ya Elimu Tanzania ( TIE ).

Akielezea kuhusu upandishaji madaraja kwa walimu , amesema :" Kati ya Machi ,2021 na Agosti ,2024, walimu 601,698 nchi nzima wamepandishwa madaraja na Serikali imetumia shilingi trilioni 1.3 kuwalipa . Na niwatake Maafisa Elimu kuwatembelea walimu vijijini na kusikiliza kero zao ," amesisitiza Waziri Mkuu.

Amesema katika kipindi cha kuanzia Machi ,2021 hadi sasa , Serikali imeweza kuwabadilisha kada / miundo jumla ya watumishi 36,768 kwa gharama ya sh .3,090,476,931.00 na imelipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi 144,356 yenye jumla ya sh . milioni 229.9.

Akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na hadhara hiyo , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati , Mhe.Doto Biteko amewashukuru walimu wa Tanzania kwa kuendelea kuiheshimisha taaluma yao na kuwa chanzo cha maarifa kwao hakitoki kwingine isipokuwa kwao hivyo wailinde kwa wivu mkubwa taaluma hiyo .

Dkt . Biteko amesema mwaka 2015 wakati anachaguliwa kuwa Mbunge , wilaya yake ilikuwa ikishika nafasi ya mwisho katika mitihani ya Taifa ." Nilizungumza na walimu kuhusu matokeo mabaya na wakasema tusiwaache walimu nyuma hivyo tulianza kukutana na kufanya tathimini na sasa tunafanya vizuri ."


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa