• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Shule 10 Geita Kupokea Wanafunzi wa Kidato cha Tano kwa Mara ya Kwanza - Senyamule

Imewekwa: June 26th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Geita jana tarehe 25 Juni, 2021 na leo tarehe 26 Juni 2021 amefanya ziara ya kukagua hali ya Miundombinu ikiwa ni Maandalizi ya kupokea wanafunzi wa Kidato cha Tano 2261 walichaguliwa kujiunga kwa Mara ya kwanza kwenye shule 10 za Sekondari za Serikali ndani ya Mkoa.

Mhe. Senyamule ameridhishwa na hali ya Miundombinu ya Madarasa, Mabweni, Maji, Mabwalo ya Chakula, Maabara na Umeme baada ya kupita kwenye Halmashauri za Nyang'hwale, Geita Mji, Geita, Bukombe na Chato. 

Aidha, ametoa rai kwa viongozi wa shule na Halmashauri kumalizia marekebisho madogo ya mwisho hadi kufikia jumatano ya Juni 30, 2021 ambapo wanafunzi hao wanatarajia kuanza masomo tarehe 05 Julai 2021.

"Hongereni sana kwakweli nimeridhika na niseme tu kwamba shule zote nilizotembelea zimekidhi vigezo na vina uwezo wa Kupokea wanafunzi wa Kidato Cha Tano, Kama nilivyoagiza kwenye kila shule naomba machache yaliyobaki yarekebishwe," amesema Mkuu wa Mk

oa.Akifafanua Kaimu Afisa Elimu Mkoa wa Geita, Mwalimu Kaitila Mafwimbo amesema hapo awali Mkoa wa Geita ulikua na jumla ya shule 10 za Kidato Cha Tano na Sita za Serikali na kwamba ongezeko la shule hizo 10 mwaka huu utafanya idadi ya shule 20 ambapo 7 ni za wanafunzi wa kike.

 Aidha, amebainisha kua shule zote zina Miundombinu rafiki kwa wanafunzi wa hali yoyote hata walemavu.Mkuu wa Mkoa amefika kwenye shule za Sekondari Msalala, Nyang'hwale wilayani Nyang'hwale,  Kamena na Bugando za Geita, Shantamine na Mwatulole za Geita Mji, Bukombe ya Bukombe DC na Ilemela pamoja na Buseresere za Halmashauri ya Chato.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa