• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tunzeni Miundombinu ya Zahanati ili iweze Kudumu

Imewekwa: June 30th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said  Nkumba  amewataka wananchi wa kijiji cha Namalandula kuhakikisha wanaitunza miundombinu ya zahanati ya Namalandula ili iweze kudumu kwa muda mrefu."Tulitunze jengo letu ili liweze kudumu kwa muda mrefu. sitaki kusikia baada ya muda mfupi miundombinu imehujumiwa."Nkumba ameyasema hayo tarehe 30 Juni, 2021 wakati akiweka jiwe la msingi Zahanati ya Namalandula iliyopo kata ya Namonge wilayani Bukombe ikiwa ni ziara yake ya kikazi ya siku ya pili.Aidha amemtaka Mganga mkuu wa Wilaya  Orden Ngassa kuhakikisha baada ya wiki mbili wananchi wanaanza kupata  huduma za msingi katika Zahati hiyo.Naye Mtendaji wa kijiji cha Namalandula  Abel Peter amesema hadi sasa  mradi umekamilika kwa asilimia 98, ambapo hatua iliyobaki ni pamoja na kuweka madirisha ya vioo. Aidha mzabuni anayetakiwa kuleta madirisha amepata changamoto ya ukosefu wa vioo sokoni ambapo imepelekea mzabuni huyo kushindwa kuleta madirisha hayo.Zahanati ya kijiji cha Namalandula ilipokea kiasi cha shilingi milioni 50 kwa ajili ya ukamilishaji na mradi huo na mradi ukikamilika utanufaisha wananchi wa kijiji cha Namalandula wapatao 5763 pia wananchi wa vijiji jirani jambo ambalo litapunguza safari ya imbali wa km 26 kwenda Uyovu kufuata huduma za afya hususani watoto na wajawazito."Msikae na wahamiaji haramu, msikae na watu wasio raia wa Tanzania ambao hawajatimiza masharti ya kuingia nchini kwani ni hatari kwa usalama wa Taifa letu."Nkumba ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa kijiji cha kata ya Ilyamchele kilichopo kata ya Namonge pembezoni mwa hifadhi ya Kigosi.Vile vile amezitaka kamati za ujenzi wa kituo cha Afya Namonge  kufanya kazi kwa uadilifu."Kamati zote za ujenzi fanyeni kazi kwa uadilifu  Milioni 400 ni fedha nyingi mambo yakiharibika mtawajibishwa"Kituo cha Afya Namonge kimepokea shilingi Milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa miondombinu ya Wodi ya wazazi, Chumba cha Upaduaji, Chumba cha Maabara, Jengo la kufulia nguo, Nyumba ya Mtumishi na Chumba cha kuhifadhia Maiti.Kituo hiki kitakapo kamilika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe itakuwa na vituo vya Afya vitatu ambavyo ni Kituo cha Afya Ushirombo, Uyovu na Namonge.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa