• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tuwapeleke Watoto Katika Nyumba za Ibada

Imewekwa: June 15th, 2023

Afisa Tawala  Ndg. Ally Mketo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe amewataka wazazi na walezi kuhakikishwa wanawapeleka watoto kwenye nyumba za Ibada.

"Tuwapeleke watoto wetu kwenye nyumba za Ibada ili  waweze kuwa na maadili mema na kuachana na makundi ovu.

Mketo ameyasema hayo tarehe 14 Juni, 2023 wakati wa Madhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kiwilaya yamefanyika katika viwanja vya Kapela kata ya Igulwa yenye kauli mbiu "Zingatia Usalama wa Mtoto katika Ulimwengu wa Kidijitali."

Aidha amewataka walezi pamoja na wazazi kuhakikisha wanaacha tabia ya ubaguzi wa kijinsi kwani watoto wote wana haki sawa ya kupata elimu.

" Tunataka watoto wote wapate elimu bila kuwasahau watoto wenye ulemavu kwani elimu ndiyo mkombozi wa mtoto wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla."

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Rita Kamenya amesema Halmashauri ya Wilaya Bukombe kwa kushirikiana wadau mbalimbali ili kumlinda mtoto  dhidi ya ukatili wametoa elimu  kwa jamii  kuhusu haki na maendeleo ya mtoto katika Kata za Runzewe Mashariki, Runzewe Magharibi, Katome, Ushirombo, katente, Igulwa, Bukombe, Lyambamgongo, Busonzo, Uyovu, na Iyogelo.

Naye Afisa Lishe wa Wilaya Lissa Mwakyusa amewataka wazazi kuhakikisha wanazingatia lishe bora na yenye virutubisho muhimu hasa katika siku 1000 za awali za makuzi ya  watoto ili kutoyumbisha hatua za ukuaji.

Katika sherehe za Maadhimisho hayo watoto walipata fursa ya kushiriki katika michezo mbalimbali na kuzawadiwa zawadi kama vile madaftari, kalamu na Mipira.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa