• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIJANA WATAKIWA KUWA WAZALENDO WA TAIFA LAO - OTHMAN HIJA.

Imewekwa: October 23rd, 2024

Katibu Mkuu wa Taasisi ya Uzalendo Wetu Taifa letu Bw. Othman Hija Hamadi  amewataka vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kuwa wazalendo katika kulitumikia Taifa lao.

"Mkiishi maisha ya Kizalendo mtakuwa mstari wa mbele katika kupambana na mambo maovu katika jamii."


Othman ameyasema hayo tarehe 22 Oktoba , 2024 wakati akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari, Bulangwa, Bukombe, Said Nkumba na Shule ya Msingi Ilyamchele wakati wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya maendeleo  inayotekelezwa Wilayani Bukombe katika kipindi cha miaka mitatu cha uongozi  wa awamu ya sita ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Bukombe kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo.


"Hongereni sana kwa usimamizi mzuri wa miradi kwani imetekelezwa kwa ubora ambao serikali imekusudia."

Aidha amewataka watoa huduma za afya  kuhakikisha wanatoa huduma nzuri kwa wananchi kwani serikali imejenga majengo mazuri pamoja na kuleta vifaa tiba.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi ya Uzalendo wetu Taifa Letu Zanzibar  Abeid Juma Abed amewaasa wanafunzi kusoma kwa bidii na  kuhakikisha wanatunza na kuilinda miundombinu ya shule ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

"Serikali imewajengea madarasa ya kisasa hakikisheni mnayatunza ili yaweze kutumika hadi vizazi vijavyo.

Katika ziara hiyo miradi iliyotembelewa ni pamoja na Mradi wa Maji Bulangwa na Namonge, Ukarabati wa Hospitali ya Wilaya ya Bukombe, ujenzi wa barabara kiwango cha rami Uyovu, Ujenzi wa kituo cha afya Msonga pamoja na miradi ya elimu msingi na sekondari.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa