• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi Wapewa Elimu Kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi

Imewekwa: February 21st, 2022

Watumishi ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wamepata elimu kuhusu mfumo wa Anwani za Makazi lengo likiwa ni kupata uelewa wa pamoja kuhusu umuhimu na namna ya kutekeleza mfumo huo.

Akifungua mafunzo hayo leo tarehe 21 februari, 2022 yaliyoshirikisha kada mbalimbali katika ngazi ya kata Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewataka watendaji hao kujituma usiku na mchana ili kazi hiyo iweze kufikia malengo ya serikali kwa wakati.

Aidha amewataka watambue kuwa zoezi hili ni zoezi muhimu na la kitaifa.

"Hili ni zoezi muhimu na ni la kitaifa, hakikisheni taarifa zitakazokusanywa ziwe ni taarifa sahihi ili ziweze kuleta tija na kuonesha mwelekeo na matarajio ya serikali."

Akiongea katika mafunzo hayo Afisa TEHAMA Justina Haule amesema manufaa ya mfumo wa Anwani za Mkazi ni kuwezesha kufanyika kwa biashara Mtandao, kuboresha upataji, utoaji na upelekaji wa huduma na bidhaa hadi mahali stahiki, kuimarisha ulinzi na usalama, kuongeza ajira na kurahisisha shughuli za tafiti na upatikanaji wa taarifa.

Naye Mtendaji wa Kata ya Bukombe Marco Nsoro kwa niaba ya watumishi ngazi ya kata amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kuwapatia mafunzo hayo. Aidha amemuhakikishia Mkurugenzi Mtendaji kuwa watafanya kazi hiyo kwa ufasaha na kwa kuzigatia mwongozo uliotolewa na serikali.

Mafunzo ya Anwani za Makazi nchini unatekelezwa na Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Imetolewa na:-                                       

Kitengo cha TEHAMA

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 21 Februari, 2022


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa