• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WDC Bugelenga Endelezeni Ushirikiano.

Imewekwa: June 25th, 2022

Afisa Mipango wa Wilaya ya Bukombe Sylivia Rwehabura ameitaka kamati ya Maendeo ya Kata  kuhahikisha inaendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

"Serikali imetuletea tena shilingi milioni 250 ikiwa ni fedha fedha Tozo ya Miamala ya Simu awamu ya Pili kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Wodi ya Wazazi na Upasuaji, Jengo la kufulia pamoja na njia ya Kutembea ( walkways).

 Ushirikiano  tuliokuwanao wakati wa utekelezaji wa majengo mengine tuuendeleze ili majengo yetu yaweze kukamilika kwa wakati na kwa ubora ule ule uliokusudiwa na serikali.

"Haya ameyasema tarehe 24 Juni, 2022 wakati akitoa taarifa  ya Mapokezi ya fedha shilingi Milioni 250 kwa ajili ya uendelezaji wa ujenzi Kituo cha Afya Bufanka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kata ya BugelengaAidha aliendelea kusema kuwa kadri tunavyofanya vizuri ndivyo tunavyoendelea kuletewa fedha.

Kwa upande wake  Severa Mambee ambaye ni Mchumi kutoka ofisi ya Mipango ameitaka Kamati kuendeleza moyo wa kizalendo.

"Endelezeni moyo wa Kizalendo ya kuona miradi hii ni ya kwenu kwani kwa kutokufanya hivyo miradi yetu haitakuwa na tija."

Naye Diwani wa Kata ya Bugelenga Mhe. Donald  Lubigisa ameishukuru Serikali kwa kuwakumbuka tena kwa kuwaletea fedha za Tozo ya Miamala ya Simu Awamu ya Pili.

"Tunaishukuru sana serikali kwa kutupatia fedha hizi kwa ajili ya uendelezaji wa ujenzi  kwani majengo yatakapokamilika tutapata huduma ya Upasuaji hapa hapa na siyo tena kwenda katika kituo cha Afya Ushirombo."

Kituo cha Afya Bufanka kwa mara ya  kwanza kilipatiwa fedha za Tozo ya Miamala ya simu awamu ya kwanza kiasi cha shilingi Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Maabara na Jengo la wagonjwa wa nje, kiasi cha shilingi Milioni 90 fedha kutoka IMF kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 3 za watumishi ( 3 in 1) na Milioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Wodi ya wazazi na Upasuaji, Jengo la Kufulia pamoja na njia ya kutembea ( walkways ).


Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba December 02, 2022
  • Polio November 30, 2022
  • Usajili wa Mkopo wa 10% Sasa Umerahisishwa January 23, 2023
  • Tangazo la Nafasi za Kazi kwa Kada za Afya na Elimu April 12, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wanafunzi wanne Kushiriki katika Mashindano ya FEASSA

    July 27, 2023
  • Pongezi za Dhati Kwa Ufaulu wa Kibabe Kidato cha Sita - DED Lutengano

    July 21, 2023
  • Doto CUP Yazinduliwa kwa Kishindo Bugelenga

    July 05, 2023
  • Waalimu Chapeni Kazi

    July 03, 2023
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa