• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri Tarehe 22 Juni, 2022

Imewekwa: June 23rd, 2022

Kujadili Taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha Unaoishia 30 Juni, 2021.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamuke.

#Naipongeza Halmashauri ya wilaya ya Bukombe kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

#Huu ndiyo uwe utaratibu wa Bukombe.

#Hoja ambazo zinajibika zijibiwe na zisiendelee kuonekana kwenye taarifa zetu.

#Tujenge utamaduni wa kujibu hoja kwa wakati na linalowezekana leo lisingoje kesho.

#Tutachukua hatua kwa watumishi waliosababisha hoja bila kuwa na sababu za msingi.

#Naipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kwa kufikia 100.03% katika ukusanyaji wa mapato.

#Mwanasheria wa Halmashauri angalia ni namna gani tunaweza kumaliza kesi za madeni ya Halmashauri.

#Sitaki kuona  matumizi ya fedha mbichi.Hakikisheni fedha zote zinapelekwa benki.

#Hakikisheni mnakusanya tozo za Halmashauri katika maeneo ya Kimkakati ( stendi, masoko na minada) ili kuweze kuongeza mapato ya ndani.

#Toeni elimu kwa wafanyabiasha kuhusu ukataji wa leseni pamoja na Tin.

#Si jambo la hiari au la kuamua ni takwa la kisheria.

#Tuendelee kusimamia miradi ya maendeleo kwa umakini na kuhakikisha inakamilika kwa  wakati.

#Wahe.Madiwani hakikisheni mnawaambia wananchi kuhusu miradi inayotekelezwa na serikali.

#Endeleeni kutoa elimu na kuhamasisha watu wajitokeze kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi tarehe 23 Agost, 2022.


MKAGUZI MKUU WA NJE (M) GEITA CPA RICHSON RINGO.

#Ninaishauri Menejimenti kuhakikisha inaendelea kujibu hoja za ukaguzi na kuziwasilisha kwa ajili ya uhakiki.

#Zipo hoja ambazo majibu hayajajitosheleza kwa ajili ya kufungwa. Endeleeni kuleta majibu ili ziweze kuhakikiwa na kufungwa.

#Hoja ambazo hazijapatiwa majibu kabisa, majibu yatafutwe na vielelezo viwasilishwe kwa ajii ya uhakiki.

#Kusiwe na muda maalumu wa kuleta majibu bali kila kielelezo kinapopatikana kiwasilishwe ili kiweze kuhakikiwa.

#Menejimenti toeni ushirikiano wa kutosha kwa wakaguzi ili kuepuka  kupata hoja nyingi za ukaguzi.

#Hakikisheni mnafuata sheria, taratibu na kanuni ambazo zinaongoza shughuli za kila siku katika Halmashauri.

#Kila hoja inapopatikana kunakuwa na kifungu  cha sheria na maagizo ya serikali ambayo yamevunjwa.

#Kila mmoja wetu akizingatia sheria katika utekelezaji wa majukumu yake tutafikia mahali ambapo hatutakuwa na hoja nyingi za ukaguzi.


MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE MHE. SAID NKUMBA.

#Maelekezo tumeyachukua na tunaahidi kuyafanyia kazi.

#Hoja ambazo hazina sababu ya msingi tutashirikiana na kuhakikisha zinafungwa.

Imetolewa na -:

Kitengo cha TEHAMAHalmashauri ya Wilaya ya BukombeTarehe 22 Juni, 2022.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa