• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ZAIDI YA WAGONJWA 400 WAMEHUDUMIWA NA MADAKTARI BINGWA NA BOBEZI WA RAIS SAMIA

Imewekwa: June 28th, 2024

Wagonjwa zaidi ya 400 wamepatiwa matibabu kupitia kambia ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais Samia katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili tarehe 28 Juni, 2024 wakati wa hafla ya kuhitimisha Kambi ya Matibabu ya Madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais Samia.

Mhe. Muragili amesema kuwa ujio wa madaktari hao umepunguza gharama za matibabu na wagonjwa kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za rufaa nje ya Wilaya.

“Ujio wa madaktari hawa umeokoa maisha ya wagonjwa wengi ambao wangeenda nje ya Wilaya na Mkoa kufuata huduma za kibingwa”.

Aidha Muragili amemshukuru Rais Samia kwa kuwaleta madaktari bingwa kwani ujio huo umeongeza ujuzi kwa madaktari wenyeji na wataendelea kutoa huduma bora zaidi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Ndg. Lutengano Mwalwiba amesema kuwa katika bajeti ya mwaka huu wa fedha wametenga fedha kwa ajili ya kuwawezesha madaktari wawili ili waweze kusoma masomo ya kibingwa.

Naye Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Dkt. Mahona Kaji amesema kuwa ujio wa madaktari bingwa umekuwa fursa kwa madaktari wenyeji na ameomba zoezi hilo liwe endelevu na waweze kupata madaktari zaidi.

Kwa upande wake daktari bingwa na bobezi wa magonjwa ya wanawake na Afya ya uzazi Dkt. Philemon Magile amesema kuwa lengo la ujio wao ni kufanya matibabu ya kibingwa kwa wagonjwa ngazi ya Wilaya na wamefanikiwa kufanya upasuaji kwa wagonjwa tisa.

Kambi ya madaktari bingwa na bobezi wa Rais Samia katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imefanyika kwa siku tano kuanzia tarehe 24 Juni, 2024 kuhitimishwa tarehe 28 Juni, 2024.


















Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa