• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TASAF

Start Date: 0000-00-00
End Date: 0000-00-00

Mkuu wa Mkoa Meja Jenerali Ezekiel Kyunga  ametembelea vijiji 7  ambavyo ni Ituga,Mwalo, Ikuzi, Businda,Ibamba,Kabuhima,na Lyobahika wilayani Bukombe yenye jumla ya walengwa 1147 wanafuaika wa Mradi wa TASAF.


Lengo ni kuona jinsi walengwa walinavyonufaika na mradi huo na kupata kero mbalimbali za Mradi huo wa TASAF ambao umedumu kwa miezi 18 sasa kutoka kwa wananchi.

Katika ziara hii Mkuu wa Mkoa amefurahishwa na baadhi ya wanufaika wa mradi huo waliotumia Mradi huo katika kujiendeleza kiuchumi  kama ifuatavyo;

Katika kata ya Bukombe – walengwa 59

  • Kijiji cha Ituga  Bi Agnes Lawrence alianza kwa kutengeneza bustani ya mboga mboga na Baadaye alinunua Ng’ombe 8 na anaendelea na ufugaji na mpango wa TASAF ulikuwa unamlipa Tsh elfu 76.
  • Mnufaika Hamisi Ngassa kupitia mradi huu wa TASAF ambao anapokea Tsh elfu 44 yeye amefanikiwa kujenga Nyumba nzuri ya kuishi na familia.

Katika kata ya Ushirombo – walengwa 76

  • Mnufaika Felister William Busiga wa Kata ya Ushirombo kijiji cha Mwalo amejenga nyumba na ameanza ufugaji wa Mbuzi ambapo ana mbuzi wa 4.
  • Leah Francis Andrea awali watoto walikuwa hawaendi shule na anaishi kwenye Nyumba ya Nyasi lakini baada ya kuwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa TASAF ameweza kujenga Nyumba yenye mabati.
  • Mariah Salome Masaga amenunua mashamba,amejenga nyumba nzuri kiasi tofauti na mwanzo,anafuga kuku mpango wa TASAF anapokea tsh elfu 48.

Kata ya Bulangwa – walengwa 317 kijiji cha Bulangwa.

  •  Katalina Stahika anapokea Tsh elfu 40 amenufaika kwa kujenga Nyumba nzuri na ya kisasa ya Bati na kuanzisha bustani ndogo ya mboga mboga.
  • Leah James amenufaika kwa kujenga nyumba yenye bati.

Kata ya Uyovu –  Vijiji vitatu vyenye jumla ya walengwa  695

  • Kijiji cha Ibamba walengwa 201     Mariam Paulo amenunua mbuzi 2, na Bata wa 2 na watoto wanaenda shule.
  • Kijiji cha Kabuhima –  Walengwa  191    Yusta Kaozya mradi wa TASAF  amekuwa akilipwa  Tsh elfu 45 – 50 na amenufaika kwa kuanza ufugaji wa mbuzi wawili, Kuku wa kienyeji 50 na Bata 25.
  • Kijiji cha Lyobahika – walengwa 303  Mariam Lukeli amenufaika kwa kuanza ufugaji wa Bata 12, Kuku na Vifaranga 28.

Kata ya Runzewe Mashariki – Kijiji cha Ikuzi walengwa 211

Kero/Changamoto za wanufaika wa mradi wa tasaf wilayani bukombe kama ifuatavyo;

  • Fedha kupungua kadri awamu ya kupokea fedha ikija mfano mwanzoni Bi Elizabeth Matata alipokea Tsh elfu 44, awamu iliyofuata akapokea tsh elfu 40 na awamu nyingne akapokea Tsh elfu 36.
  • Baadhi ya kaya Maskini nyingine kutoingizwa kwenye Mpango alisema Mwenyekiti wa kijiji cha Ituga ambapo kijiji chake walengwa 59 tu wameingizwa kwenye mradi wakati ana kaya 150 maskini kijijini hapo.
  • Baadhi ya watoto wanaosoma kwenye Kaya kutoingizwa kwenye mradi wa TASAF mfano Bi Getruda Augustino wa kijiji cha Bulangwa anawatoto 6 ila waliopo kwenye mradi ni 6 tu.
  •  Mzee Yusuph Kidende mwenye umri wa miaka 83 kijiji cha Ibamba hajaingizwa kwenye mradi.
  •  Kuhama kwa walengwa hivyo kushindwa kuwahamishia katika vijiji walivyohamia wakati wa kupokea pesa inawalazimu kurudi kijiji walichokuwa ili kupokea fedha hizo.
  • Wengine wanakatwa ambao hawapo kwenye hela za Masharti.

Majibu Kutoka Kwa Mhasibu wa TASAF

  • Malipo ya TASAF – awamu ya kwanza kulikuwa na bonus ya elfu 8.
  • Wanafunzi wanaolipwa kwanza lazima wahudhurie shuleni kwa 80%  na pia kila kaya wanaolipiwa kwa mpango wa TASAF ni wanafunzi si zaidi ya watatu (3) kwa shule ya Msingi na Si zaidi ya wanne (4) kwa shule za sekondari na mtoto asipohudhuria kwa asilimia 80% atapigwa penalty(faini).
  • Kuna fedha za Ruzuku ya masharti ambayo ni Elimu, na Afya ambapo mahudhurio ya mwanafunzi shuleni yatabakisha kiwango cha malipo au yatashusha, upande wa Afya lazima mtoto ahudhurie clinic kama utaratibu unavyosema.
  • Zoezi la kutambua kaya maskini litafanyika katika Mikutano ya hadhara ya kijiji.

 

 

 

NUKUU YA MAJIBU YA MKUU WA MKOA;

  • Muitikio wa awali ndio uliosababisha kaya chache ambazo ni maskini katika kijiji kutambuliwa.
  • Wananchi wengi hawakuamini mpango huu wa TASAF hivyo kushindwa kuhudhuria mikutano ya hadhara baada ya kuona kaya zilizoingia kwenye mpango kuna mafanikio wananchi wameanza kujitokeza kwa wingi.
  • Mpango wa TASAF unalenga kusaidia kaya maskini kujisimamia kwa kuanzisha miradi ya maendeleo ambayo mradi ukiisha bado mnufaika ataendelea kunufaika.
  • TASAF inaendeshwa kwa kufuata utaratibu wa kisheria ndiyo maana kuna Mkataba maalum kwa walengwa na mpango mzima wa TASAF.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa