Search results for 2023

Mapokezi ya Mwenge Wa Uhuru- 2023 News

...Bukombe Mhe.Said Nkumba ameambatana na baadhi ya viongozi kutoka Wilayani Bukombe kwa ajili ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru - 2023. Mwenge wa Uhuru  Mkoani Geita umepokelewa leo tarehe 2/8/2023 katika eneo la uwanja wa s...

Visit page →


Kila la kheri watahiniwa darasa la saba 2023 - DED Lutengano. News

...ema watahiniwa wote wa darasa la saba wanaotarajia kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya Msingi tarehe 13 - 14 Septemba, 2023 huku akiwata kuzingatia taratibu zote za mitihani. Salamu za kheri amezitoa wakati akiongea na wanafun...

Visit page →


BUKOMBE YAPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 News

...a Bukombe kwa kupata hati safi kutokana na taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Shigela ameyasema hayo tarehe 24 Juni, 2024 wakati wa mkutano maalum wa kujadili taarifa ya utekeleza...

Visit page →


Makabidhiano ya Mwenge-2023 News

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba leo tarehe 7/8/2023 amemkabidhi  Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhandisi Deusdedith Katwale Mwenge wa Uhuru ukiwa unapendeza, unawaka na kumeremeta kwa ajili ya kutembelea, kuona, kuzindua na kuw...

Visit page →


Baraza la waheshimiwa Madiwani lapitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023. News

...Madiwani tarehe 17 Januari, 2022 limepitisha rasimu ya Mapendekezo ya makadirio ya Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 wenye jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 34.1 Bilioni 2.1 ikiwa ni mishahara, Bilioni 2.4 ikiwa ni matumiz...

Visit page →


Yaliyojiri Tarehe 24, February, 2023 Wakati wa Kikao cha Baraza la Waheshimiwa Madiwani Robo ya Pili News

...#Tukasimamie ukamilishaji wa matundu ya vyoo kwenye shule mpya katika shule ya sekondari Mwalo na Buganzu #Kwa mwaka 2023 jumla ya wanafunzi 8428 ndiyo waliopagwa kujiunga na kidato cha kwanza.Jumla ya wanafunzi 7402 sawa na asil...

Visit page →


Dkt. Biteko ashuhudia fainali ya Mwl. Doto Cup Bukombe News

...ati,  ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia fainali ya mashindano ya Mwl. Doto CUP 2023, wilayani Bukombe mkoani Geita ambapo Walimu katika wilaya hiyo wameshindana katika  michezo mbalimbal...

Visit page →


Tutaleta Umeme Vijijini-Dkt. Biteko News

...bila kujali aina ya nyumba aliyonayo, kwani kila Mtanzania anahitaji mwanga. Mhe. Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 26, 2023 wakati wa hafla ya uwashaji umeme kupitia Mradi wa REA Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Pili katika Kijiji cha Ih...

Visit page →


Salamu za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, siku ya walimu duniani News

...pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023,  alipokuwa akizungumza kwa njia ya simu na Walimu zaidi ya 2000 wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita wakat...

Visit page →