• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bukombe inatekeleza Ujenzi wa vyumba vya Madarasa ya kisasa

Imewekwa: October 19th, 2018

 Wanafunzi 1001 wa Shule ya Sekondari Businda kunufaika na uongezaji wa miundombinu katika Shule hiyo. Ambapo vyumba vitatu vya Madarasa na samani zake, Ofisi moja ya Walimu patoja na matundu 24 ya vyoo vimeongezwa ili kuendelea kuboresha mazingira ya wanafunzi. Uboreshaji wa miundombinu hii umefanyika takribani siku 75 tu, baada ya kupokea fedha kiasi cha shilingi Milioni 110  za Kitanzania kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA).

Afisa Elimu Sekondari Ndugu Philbert Nyangahondi amesema usimamizi wa karibu uliofanywa na mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Businda Bi.Yunia Bukurie umepelekea ukamilishaji wa miundombinu hiyo muhimu kwa muda mfupi na kiwango cha hali ya juu, ukamilishaji huu utafanikisha wanafunzi kusoma katika mazingira mazuri na walimu kufundisha wanafunzi kwa ufanisi hivyo kupelekea kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi kuongezeka.

Bukombe imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo hususani sekta ya afya na sekta ya elimu lengo ni kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora kwa maendeleo ya nchi Na watoto kupata elimu ya uhakika Ili kuendelea kupambana na umaskini.

Matangazo

  • Ziara ya Wahe. Mawaziri nane (8) mkoani Geita katika hifadhi ya msitu wa Biharamulo - Kahama February 18, 2019
  • Mkutano wa Baraza la Madiwani February 18, 2019
  • Matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Maonesho ya sikukuu ya wakulima nanenane 2018 August 08, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Bukombe yapitisha rasimu ya mpango wa bajeti 2019/2020

    February 21, 2019
  • Dawa za vitamini A kupewa kipaumbele

    February 06, 2019
  • NMB Bukombe yachangia mabati 185 na kompyuta 7

    January 30, 2019
  • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe yaanzisha madarasa lishe

    January 21, 2019
  • Tazama zote

Video

Mwenyekiti wa Halmashauri amkaribisha Padri Salvatory Guerrera katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa