• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Teknolojia habari mawasiliano

KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO.


 UTANGULIZI

Kitengo cha Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Uhusiano kina jumla ya watumishi wa tano (05) ; Maafisa TEHAMA watatu(3) na Maafisa Habari wawili (02).

 Aidha kitengo kinajumuisha sekta mbili ambazo ni:

  • Teknolojia ya Habari Mawasiliano  na
  • Uhusiano

SEKTA YA UHUSIANO

Katika Sekta ya Uhusiano kazi zinazotakiwa kutekelezwa ni pamoja na:-

  • Kuandaa na kutoa habari zinazofanana na mipango, sera, mafanikio, changamoto pamoja na shughuli za utendaji kazi wa Halmashauri.
  • Kupokea maswali kutoka kwa waandishi wa Habari, kuyafanyia utafiti kisha kutoa majibu katika vyombo husika na kuratibu upatikanaji wa habari kwa wakati.
  • Kuandaa vipindi mbalimbali vya redio na television kwa lengo la kutangaza Halmashauri
  • Kuratibu shughuli mbalimbali za mahusiano ya ndani na nje ya Halmashauri
  • Kuandaa na kuratibu Taarifa kwa vyombo vya Habari (Press Conference,Press Release).
  • Kutoa ushauri na kusimamia masuala yote yanayohusu sekta ya Habari na Mahusiano.
  • Kushiriki katika vikao mbalimbali.

SEKTA YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA).

  • Kuboresha daftari la Ki – electroniki lenye kuonyesha idadi na hali ya vifaa vyote vya TEHAMA “General Inventory”
  • Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumiaji wa mfumo wa EPICOR, LGRCIS na LAWSON
  • Marekebisho na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA (komputa, printers na scanners)
  • Uboreshaji mapato kwa kutumia njia ya Ki – elektonic (POS MACHINE)
  • Kurekebisha/kutathimini hitilafu zozote za mtandao wa kompyuta
  • Kuandaa “specifications” za vifaa vya TEHAMA
  • Kurekebisha miundombinu ya mtandao.

Mawasiliano zaidi;

Sadi Kambi (Afisa TEHAMA).

Barua Pepe; sadi.kambi@bukombedc.go.tz

Simu;0758726097


Tusa D Mwambenja (Afisa Habari)

Barua Pepe; tusa.mwambenja@bukombedc.go.tz

Simu; 0759254002

Matangazo

  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba December 02, 2022
  • Ufafanuzi wa Habari iliyochapishwa kwenye tovuti ya Mwananchi Communication ltd October 13, 2021
  • Tushirikiane kuzuia Polio kwa kumpleka Mtoto kupata chanjo ya matone. May 07, 2022
  • Tangazo la Kazi October 13, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt. Mkenda Ahaidi Kujenga VETA Wilaya ya Bukombe

    October 09, 2022
  • Uzinduzi wa Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship

    September 27, 2022
  • Walimu Ajira Mpya Wapata Semina Elekezi

    September 27, 2022
  • TFS Yakabidhi Madawati 100

    September 26, 2022
  • Tazama zote

Video

Mweka Hazina na Wahasibu watakiwa kutimiza wajibu wao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa