• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kumbaka mtoto wa miaka mitatu.

Imewekwa: August 16th, 2019


Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita,imemuhukumu kwenda kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela mkazi wa kijiji cha Lyobahika kata ya Uyovu Tarafa ya Siloka  Ruben Maiko (19) kwa kosa la kumbaka mtoto wa umri wa miaka mitatu. 

Hakimu mkazi Mahakama ya Wilaya ya Bukombe Amon Kahimba akitoa hukumu hiyo alisema mshtakiwa alitenda kosa la ubakaji majira ya saa 1:00 jioni Agosti 8 mwaka 2019  kijiji cha Lyobahika akiwa nyumbani  kwa  Doto Wiliamu anaedaiwa kuwa mpenzi wake na mama wa mtoto aliye bakwa.Mshtakiwa aliingia chumbani akamuita mtoto chumbani na kumbaka kisha kumusababishia maumivu makali sehemu ya  mwili wake baada ya kumkuta mama wa mtoto huyo hayupo ameenda kwenye majukumu yake 

.Kahimba alisema kutokana na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka mahakamani hapa na vielelezo vya madaktari na upande wa Doto Wiliamu mama mzazi wa mtoto na mashuuda wengine ushahidi ambao hauja acha shaka mahakamani. 

Kutokana na kosa hilo mshtakiwa ataenda kutumikia kifungo cha maisha jela ili liwe fundisho kwa watu wengine wenye nia ovu ya kutenda kosa kama hilo.Mshitakiwa Ruben Mariko akitowa utetezi wake mahakamani hapo aliomba mahakama kumpunguzia adhabu kwa kutoisumbua alikili kutenda kosa hilo na kuongeza kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mama wa mtoto huyo alifika nyumbani hapo akamkuta mpenzi wake amekwenda kuhudumia bar ndipo akambaka mtoto wa mpenzi wake. 

Awali mwendesha mashtaka wa polisi Neema Nhaluke aliomba mahakama kutowa adhabu kali kwa mshtakiwa kutokana na vitendo vya kubakwa watoto  vimekuwa vikitokea mara kwa mara Wilayani hapa.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa