• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

historia ya bukombe

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ni moja kati ya Halmashauri tano (05) zinazounda  Mkoa wa Geita, ina ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 8,055.59.

Halmashauri hii Ilianzishwa Julai mwaka 1995 kwa tangazo la serikali Na.205 la mwaka 1998 ambapo  Baraza la Halmashauri ya Wilaya liliundwa rasmi mwaka 2000 baada ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kwa upande wa Mashariki na Kaskazini Wilaya ya Bukombe inapakana na Wilaya ya Mbogwe,Kaskazini Magharibi inapakana na Wilaya ya Chato, upande wa Magharibi inapakana na wilaya ya Biharamulo, na kwa upande wa kusini inapakana na Wilaya ya Urambo.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina tarafa 3 ambazo ni Ushirombo,Siloka, na Bukombe. Ina kata kumi na saba (17) ambazo ni Iyogelo, Busonzo, Bukombe, Butinzya,Bulega, Runzewe Mashariki, Runzewe Magharibi, Namonge, Katente, Igulwa,Bulangwa, Ushirombo, Uyovu, Bugelenga, Lyambamgongo, Katome, na Ng’anzo.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina vijiji sitini na nne (64), na vitongoji mia tatu arobaini na nane (348).  Pia wilaya ina jimbo moja la uchaguzi ambalo Mbunge wake ni kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) mhe.Dotto Biteko ambaye ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Kwa mujibu wa sense ya watu na makazi ya Mwaka 2022, Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ina jumla ya wakazi 407,102 ambapo kati yao wanawake ni 207,187 na wanaume ni 199,915.

Wilaya ya Bukombe imezungukwa na msitu kwa asilimia 76 huku asilimia 24 ya eneo lote la wilaya linafaa kwa Kilimo, Ufugaji na makazi.

Shughuli za uchumi katika wilaya hii ni Kilimo na ufugaji ambazo zinachukua asilimia 84 ya Mapato ya wakazi wote wa wilaya na asilimia 16 inahusisha shughuli za uchimbaji wa madini, biashara, ufugaji nyuki na wafanyakazi.


KARIBU WILAYA YA BUKOMBE UJIFUNZE UFUGAJI WA NG'OMBE,NYUKI NA AINA MBALIMBALI ZA KILIMO CHA BIASHARA.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa