• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Asali yaing'arisha wilaya ya Bukombe Maadhimisho ya Chakula Duniani Mkoani Geita.

Imewekwa: October 15th, 2017

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Taifa (FAO) na Shirika la Mpango wa Chakul duniani (WFP) yavutiwa sana na zao la Nyuki (Asali) pamoja na zao la Muhogo kutoka wilaya ya Bukombe katika maonyesho ya siku ya Chakula yaliyofanyika Mkoani Geita.Na hivyo kuamua kutembelea wilaya ya Bukombe kujionea Uzalishaji wa mazao hayo katika uhalisia wake ili kutimiza dhana ya Uanzishwaji wa Viwanda kwa kukaribisha wawekezaji.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Josephat Maganga akiongea na wageni waliofika Ofisini kwake kutokea Shirika la  Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Taifa (FAO)pamoja na The International Institute of Tropical Agriculture (IITA).

Mwakilishi Mkazi kutoka Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bi. Neema Sitta katika Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Bukombe.

Mwakilishi Mkazi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo Umoja wa Taifa (FAO) Bwana. Fred Kaferelo katika Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Bukombe.

Dr Fred Baijyuka kutoka kutoka The International Institute of Tropical Agriculture (IITA)  akijitambulisha alipofika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe kwa lengo la kuona Soko la Zao la Muhogo wilayani hapa.

Katika ziara hii ya wageni kutoka Mashirika ya Chakula walifika na kutaka kujionea uhalisia wa uzalishaji wa zao la Nyuki yani Asali na Nta.

Kwa mwaka jana vikundi mbalimbali vya uzalishaji Asali wilayani hapa viliweza kuzalisha Tani 300. Mwaka huu  kuanzia mwezi wa 7 mpaka sasa tani 237 zimesafirishwa nje ya nchi na Tani 76 zimesafirishwa ndani ya Nchi. Pamoja na zao linguine la Nyuki Yani Nta Tani 22 imesafirishwa  ndani ya nchi .

Hizi ni Asali ambazo zipo kwenye Vifungashio tayari kwaajili ya kuuzwa madukani,sokoni. Asali inayoonekana Nyesui sana ni Nyuki wadogo na asali inayoonekana sio Nyeusi ni Nyuki wakubwa.

Afisa Nyuki wilaya ya Bi.Dafroza Shayo akifafanua uzalishaji  wa zao la Nyuki (Asali) kwa wageni kutoka mashirika mbalimbali yanayohusiana na Chakula na Kilimo wilayani Bukombe.

Mzalishaji wa Asali kutoka kijiji cha Msonga kata ya Runzewe Mashariki Bwn. Obadia akizungumza namna anavyozalisha zao hili la Nyuki.

                                                                                                  Baadhi ya Madumu yaliyojaa Asali.

                                                                    Madumu na Ndoo lita 20 zilizojaa Asali kwaajili ya kuanza kuchunjwa.

   Hapa ndipo Asali inapochunjiwa ili kuweza kwenda hatua nyingne ya mwisho ya kuchuja na tayari kuwekwa kwa vifungashio.


Vipaumbele vya Halmashuri ya wilaya ya Bukombe ni kuendelea kuibua miradi ya maendeleo kwaajili ya maendeleo ya wilaya. Mradi wa Soko la Mihogo ni kwa maendeleo ya wana Bukombe wanaolima sana zao la Muhogo ambalo limekuwa likihitajika sana katika nchi za jirani Uganda,Rwanda,Burundi na Demokrasia ya Kongo.

       Afisa Kilimo Bwn.Joseph Machibya akielezea mradi wa Soko la Mihogo lililopo kata ya Namonge wilayani hapa kwa wageni waliofika kulitembelea.

Hili ndilo Soko la Kimataifa la zao la Muhogo lilipo kata ya Namonge wilayani Bukombe ambalo lilipata nafasi ya kutembelewa na wageni kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Taifa (FAO) ,Shirika la Mpango wa Chakula Duniani(WFP) na The International Institute of Tropical Agriculture (IITA) ili kuona fursa za Uwekezaji katika uanzishaji wa Viwanda wilayani hapa.

                                                                                   Sehemu ya Kuweka Mazao kwa wafanyabiashara wa Soko hili.

                                                                                   Meza za kuwekea mazao zilizojengwa katika Soko hili.

Hili ndilo Jengo la kuwekea mazao kwaajili ya kuuza nan je hapo ni kichujio cha zao la Muhogo Baada ya Kuoshwa ili maji yakauke.

                                                                                                    Maghala ya Kuhifadhia Mazao katika Soko la Mihogo .

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa