• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BUKOMBE KUCHANJA WATOTO 66,591 ILI KUWAKINGA DHIDI YA SURUA NA RUBELLA.

Imewekwa: February 12th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepanga kuchanja watoto 66,591 chanjo ya kuwakinga na magonjwa ya Surua na Rubella kwa muda wa siku 4 mfululizo kuanzia tarehe 15 - 18 Februari 2024

Akiongea wakati wa kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi Wilaya (PHC)  Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba,  amewataka watoa huduma kuzingatia maadili na weredi wakati wote wa  zoezi hilo.

“Ndugu zangu tukazingatie misingi ya taaluma zetu kama vile  kujituma na nidhamu ya kazi ili tuweze kutoa huduma bora na kufikia malengo yaliyokusudiwa na Serikali."

Aidha Nkumba amewapongeza Idara ya Afya  pamoja na wajumbe wa kamati ya Afya Msingi Wilaya kwa jinsi wanavyofanya kazi na kufanikiwa katika kupambana na magonjwa mbalimbali ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu.

“Pamoja na kuwepo mlipuko wa kipindupindu katika maeneo mengine lakini sisi Bukombe tupo salama. Nawapongeza sana.”

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya  Bukombe Dr. Deograsia Mkapa alisema lengo kuu la kampeni ni kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Surua na Rubella pamoja na kuongeza kinga kwa walengwa kama wameishapata chanjo katika utaratibu wa kawaida wa kutoa huduma za chanjo za kila siku.

Vilevile Mratibu wa Chanjo Wilaya Simon Misuzi alisema utoaji wa chanjo katika kampeni hii utahusisha vituo vya kudumu vya kutolea huduma za afya, huduma za mkoba, kliniki tembezi na vituo vya muda vitakavyoainishwa.

Naye Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Furaha - Ushirombo Emmanuel Muhangwa alisema,

“Sisi kama Kanisa tupo tayari kuunga mkono jitihada za Serikali kwa kuhakikisha tunatokomeza ugonjwa huu hatari unaoweza kusababisha  masikio kutoa usaha ambao huweza kusababisha matatizo ya kutokusikia, vidonda vya macho vinavyoweza kusababisha ulemavu wa kutokuona , nimonia pamoja na utapiamlo."

Chanjo ya Surua na Rubella zinawahusu watoto wenye umri wa miezi 9 hadi miaka 5 na zinatolewa bure katika vituo vya kutolea huduma za Afya. Onesha Upendo Mpeleke Mtoto Akachanje.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa