• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Umoja ni Nguvu Wananchi Wilayani Bukombe wachangia Chupa 113 za damu.

Imewekwa: September 27th, 2017

Umoja Ni Nguvu Utengano Ni Dhaifu Upendo Hudumu Wananchi Wilyani Bukombe.

Katika Kampeni ya uchangiaji damu iliyokuwa inaendelea wilayani Bukombe hakika imedhihirisha kuwa methali isemayo umoja ni nguvu utengano ni dhaifu,baada ya wananchi kuhamasika kuchangia damu kuokoa maisha ya wananchi wenzao wilayani hapa.

Katika zoezi hili la uchangiaji damu ambalo ni endelevu liloshirikisha wananchi wa kawaida,na watumishi wa Hospitali ya wilaya,kituo cha Afya Uyovu na makao makuu ya Halmashauri ya Bukombe.Huu ni Upendo wa Hali ya juu uliopelekea kupatikana kwa chupa 113 ndani ya siku tano, hamasa bado inaendelea huku timu ya ukusanyaji ikiendelea kutembelea shule za sekondari  wilayani hapa ili wanafunzi wenye umri kuanzia miaka 18 wajitolee kuchangia damu kuokoa maisha.

                                                                                         Pichani Hamisi Mtete Mratibu wa Maabara (W) DLT Hospitali ya Wilaya.

                                                                                                                         Pichani Remigius Mayasa Katibu wa Afya.

                                                                       Pichani Peter Katinda Mteknolojia wa Mionzi (Radiographer) Hospitali ya Wilaya.

                                                                                                               Pichani Zacharia Isaac Katibu wa Afya (W).

                                                                                                                   Pichani Afisa Utumishi Lazaro Mkungu .

                                                          Pichani Binti Neema Mashimba kutoka Kijiji cha Igulwa amekuja kuchangia damu kuokoa maisha.

“Metoka Nyumbani na kuja katika ukumbi huu wa Halmashauri kuchangia damu ili kuokoa maisha, maana nilijufunza kupitia mama yangu mdogo aliyepata sana shida ya damu baada ya kujifungua kwa operesheni,nikikumbuka tulivyohangaika mwaka jana 2016 ndipo nilipohamasika kufika katika ukumbi huu wa Halmashauri baada ya kusikia tangazo la uchangiaji damu.” Alisema Neema

Pichani Simba  Hassan  mwananchi kata ya Katente mtaa wa majengo.

“Mimi kutoa damu kwa imani yangu ni kusaidia wasiojiweza maana yake kusaidia wagonjwa wenye hitaji la damu, na nimekuwa nikijotlea mara kwa mara nisikiapo Tangazo la kuchangia damu kuokoa maisha” alisema simba

                                                                                                           Pichani James Kachwele  mwananchi kutoka Kata ya Businda

“Kutoa damu kwangu mimi ni kama kauli mbiu mliyotumia wakati mnatangaza ni kuokoa maisha, nilijionea mwenywe mke wa mdogo wangu alivyoteseka akiwa mjamzito sababu kuu ni kuwa na damu pungufu, ujue ili uone umuhimu wa kuchangia damu hii pata ndugu au wewe mwenyewe upate tatizo la upungufu wa damu hakika utaona kuchangia damu ni kuokoa maisha.” Alisema Kachwele

                                                                               Pichani Baadhi ya  wananchi waliojitokeza kuchangia damu ili kuokoa Maisha.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa