• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bukombe yang'ara usindikaji wa Asali Maonyesho ya nane nane jijini Mwanza.

Imewekwa: August 8th, 2017

Kama kauli mbiu ya maadhimisho ya nane nane mwaka huu "Zalisha kwa tija mazao na bidhaa za kilimo,mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa kati" Bukombe kupitia vikundi vya usindikaji za zao la Nyuki yani Asali,kikundi hiki kimeweza kupata kipato kwa kuuza asali katika maonyesho haya na kuchukua nafasi ya tatu katika wasindikaji bora wa zao hilo la nyuki. Asali kutoka wilaya ya Bukombe ni asali iliyothibitishwa na wataalamu kutoka Australia kuwa ni asali ya kiwango cha juu na isiyokuwa na aina yoyote ya madini ndani yake.

Pichani Afisa Nyuki kulia Bi.Dafroza Shayo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Usindikaji Asali "Runzewe Bukombe" Bwana.Josephat Muhozi baada ya kupokea cheti cha Ushindi wa tatu katika zao hilo.

Pichani Zao la Muhogo linalolimwa kata ya Namonge kijiji cha Namonge Mbegu ya Muhogo huu imetoka Nigeria na uzalisha ndani ya muda wa mwezi moja na Nusu. 

Pichani Afisa Kilimo Bwana  Kusekwa Maisha akitoa elimu ya zao la Muhogo kwa wananchi waliotembelea banda la Halmashauri ya Bukombe.                                                                                Pichani Matikiti yanayolimwa na kustawi vizuri katika ardhi ya Bukombe.

           Pichani Wanachi wakipata elimu ya zao la Muhogo walipotembelea Banda la Halmashauri ya wilaya ya Bukombe.

Mjasiriamali kutoka Wilaya ya Bukombe Bi. Hellen akitoa elimu ya ufumaji nguo kwa kutumia uzi mnene kwa wakina mama waliotembelea banda la Halmashauri ya wilaya ya Bukombe.

                                       Pichani Mwananchi aliyefahamika kwa jina la Bi.Jacky akipata elimu ya mbegu ya mazao mbalimbali.

                                                                                                                   Pichani Zao la Boga lililostawi vyema kabisa.Pichani Wananchi mbalimbali waliotembelea Banda la Halmashauri ya wilaya Bukombe kupata elimu ya mazao yanayozalishwa wilayani Bukombe.

Pichani Afisa Kilimo akitoa elimu ya matunda aina ya Tikiti na Parachichi kwa mwananchi aliyefahamika kwa jina la Mama Anna.

                                                                                                                      Pichani Mbegu za Mazao mbalimbali.

Pichani Mwananchi aliyefahamika kwa jina la Mzee Lutogo akipokea elimu ya kilimo kutoka kwa Afisa Kilimo Bwana Kusekwa.

                       Afisa Mifugo Bwana Mlekwa akitoa elimu ya ufugaji kuku kwa kutumia kifaa asili cha Kinengunengu B Rooder ambacho kina uwezo wa kulea vifaranga 70.

Afisa Kilimo Bwana David Pima akiuza mbegu ya Boga  kwa mwananchi aliyepata Elimu ya uzalishaji wa Maboga.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa