• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bukombe yapokea Vitabu vya Mtaala mpya kutoka Ofisi ya Rais

Imewekwa: May 23rd, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imepokea Vitabu vya Mitaala mpya kufuatia Sera ya Elimu ya mwaka 2014 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI), vitabu vilivyopokelewa ni Afya na Mazingira 5,841, vitabu vya Michezo na Sanaa 5,841, Vitabu vya Kusoma 5,841 na Vitabu 5,841 vya Kuandika walengwa wakiwa wanafunzi wa darasa la Kwanza, pia imepokea Vitabu vya kusoma 6,468 kwa wanafunzi wa darasa la Pili na Vitabu vya Kiingereza 4,102 kwa Wanafunzi wa darasa la Tatu na Vitabu vya Hisabati na Kiingereza(English) vya darasa la Nne 2799, leo katika Ofisi ya Afisa Elimu Msingi. Huu ni Utekelezaji wa Sera ya Elimu Bure wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Mhe. John Joseph Pombe Magufuli,ugawaji wa Vitabu hivo unaendelea kwa Shule zote 78 zilizopo Wilaya ya Bukombe, sera ya Elimu bure Awamu ya Tano inatekelezwa kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI).

Walimu wa kuu kutoka shule za msingi mbalimbali walikuwa na haya ya kusema juu ya ujio wa vitabu hivi mashuleni, Mwalimu Stephano Masalu wa Shule ya Msangi Nampangwe amesema ameèfurahishwa sana na ujio Wa Vitabu hihi Kwani sasa utaimarisha ufaulu wa wanafunzi kuanzia Darasa la 1 mpaka Darasa 4, Kwani ndipo Msingi Mkubwa wa ufaulu wa Darasa la 7 unapojengwa, naye Mwalimu Leah Mabula wa Shule ya Msingi Katome amesema Vitabu hivo vitaongeza chachu ya wanafunzi kusoma kwa bidii, hususani wanafunzi wa Darasa la 4 ambao hawakuwa na Vitabu vya kutosha hivyo watakuwa na Vitabu vya rejea kwa kila mmoja.

Wilaya ya Bukombe ina jumla ya Shule za Msangi 78, zende jumela ya Wanafunzi 76,459 kuanzia arasa la Kwanza mpaka dares la Saba, zoezi hili la ugawaji wa vitabu kwa wanafunzi linaenda sambamba na uhamasishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuendelea kuboresha mazingira mazuri ya elimu kwa wanafunzi.


                                                                                                        Mwalimu Mendora Masaki akiwa ameshikilia Vitabu alivyokabidhiwa tayari kupeleka kwa Wanafunzi.

                                                                 Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Ndugu Sida Shalali akipanga vitabu kutokana na darasa husika ili kurahisisha wakati wa ugawaji vitabu hivo.

                                                                                                    Mwalimu Stephano Masalu wa shule ya Msingi Nampangwe akiwa amebeba boksi lililosheheni Vitabu

                                                                                                         Walimu wa shule za Msingi wakipokea Vitabu tayari kupeleka mashuleni.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa