• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bukombe yasifika kwa zao la Muhogo

Imewekwa: June 25th, 2018


Wakulima wilayani Bukombe wazalisha tani milioni moja za mihogo  katika kipindi hiki cha mwaka 2018 ikiongozwa na kijiji cha Namonge, uzalishaji wa zao la muhogo imepelekea  ujenzi wa  miundombinu ya kisasa katika soko jipya la kimataifa  kata ya Namonge lililojengwa kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Miundombinu hiyo imejengwa  na Programu ya miundombinu ya masoko, uongezaji thamani na huduma za kifedha vijijini (MIVARF), lengo likiwa ni  kuondoa umaskini na kuongeza thamani ya zao la mihogo kwa kujenga maghala ya kuhifadhia mazao, soko la kuuzia mazao pamoja na miundombinu ya barabara  yenye urefu wa km 27.5 inaounganisha maeneo ya Namonge,Uyovu, Rusonzo ambayo yatawezesha kusafirisha  mazao kwenda kwenye soko uraisi

Wananchi wameona  huh ndio muda muafaka wa kuboresha zao la mihogo ili kuongeza uchumi  kwa kutimiza sera ya ukuaji na utengenezaji wa viwanda,licha ya kutumika kama chakula kwa binadamu, mihogo imeenda mbali zaidi, utafiti unaonyesha mihogo inaweza kutumika kwa zaidi ya namna 300 kwenye viwanda mbalimbali vinavyosindika zao hili.Zao la mihogo limetengeneza fusa za uwekezaji ambapo chi jirani kama vile Congo,Uganda ,Rwanda na Burundi zimekuwa na uhitaji zaikai juu ya zao hilo, ukweli ni kwamba zaidi ya watu milioni 800 duniani hutegemea mihogo kwa chakula kati yao  milioni 500 wapo afrika.

Aidha Zao hili limeanza kupewa kipaumbele kuwa la kibiashara jambo linalotoa farsa kwa wakulima nchini ambao wamekuwa wakinufaika kwa muda mrefu, na kwa mikakati thabiti  Tanzania ina nafasi ya kuongeza uzalishaji wa mihogo hata kuwa ya kwanza katakana na hazing ya ardhi ya kutosha na yenye rutuba, China na Tanzania mnamo mwezi wa tano wamesaini mkataba ikiwa ni moja ya kukabiliana na umaskini kwa kufungua mlango kwa wakulima ili kupata tani milioni 2  za mihogo kwa mwaka  ambazo zitawasaidia  wananchi wa China kupunguza matumizi ya petrol na diesel ,hali hii inawapa fursa wakulima  ndani na nje ya nchi.

Soko kubwa la zao la muhogo limejengwa wilayani Bukombe kata ya

                                                                                                          Maghala ya kuhifadhia maze ya muhogo.

                                                                                                  Soko la Muhogo kata ya Naming kijiji cha Namonge.

                                                                                                   Zao la muhogo likiwa limekaushwa na kuwa udaga.

                                                                                        Udaga ukiwa mwenye gunia tayari kwa usafirishaji wa ndani.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa