• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Chama cha watu wenye Ualbino Bukombe Yaongeza Uelewa juu ya Ualbino na Kupinga mauaji ya watu wenye Ualbino.

Imewekwa: October 11th, 2017

Mwenyekiti wa Chama cha watu wenye UALBINO Tanzania (TAS- BUKOMBE) Bi.Ida Saka amekemea vikali mauaji yanayoendelea kwa watu wenye ualbino Tanzania.

Amesema hayo kwenye warsha ya Mradi Jumuishi wa watu wenye ualbino iliyofanyika wilayani Bukombe ikishirikisha wadau mbalimbali yakiwemo madhehebu ya dini,waganga wa jadi,watumishi wa serikali huku Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa wilaya ya Bukombe aliyewakilishwa na Ndugu Ally Mketo Afisa Tawala wa Wilaya.

                                                                                      Mwenyekiti wa Chama cha  watu wenye Ualbino Bukombe Bi.Ida Saka.

Mgeni Rasmi aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ambaye ni Afisa Tawala Ndugu Ally Mketo.

Amesema “Watu wenye Ualbino wana haki sawa kama wanadamu wengine na wana uwezo wa kusoma,kufanya kazi,kuishi inashangaza sana kuona vitendo vya kikatili vinafanywa na watu ambao mimi nosema hawana Hofu ya Mungu, Mimi kwetu Babu yangu ni Albino lakini mbona mimi mjukuu wake si Albino,Ndugu zangu elimu tutakayo pata hapa tuifikishe na kwa wengine ili ukatili ukome kbsa.

Mratibu wa Mradi Jumuishi wa watu wenye Ualbino wilaya ya Bukombe Ndugu Emmanuel Simon.

Mwezeshaji wa Mradi Jumuishi wa watu wenye Ualbino ambaye pia ni Mwalimu wa Somo la Biology katika Shule ya Sekondari Runzewe Ndugu  Simon Mashauri   akitoa maswali kwa vikundi baada ya kufundisha nini Maana ya  Neno “Albino”, mtu anakuaje Albino,Haki za watu wenye Ualbino,Sheria ya Makosa ya Jinai na Sheria ya watu wenye Ulemavu ya  No.9 ya mwaka 2010.

                                                                                     Mtoto Hamad nae alikuja kwenye semina na Mama yake Bi.Halima .

                      Mganga wa Jadi Bi.Sada akiwa akisema Jambo wakati wa semina  ya mradi jumuishi  wa watu wenye Ulemavu.



Afisa Mipango wa Wilaya Bi.Sarah Yohana na Afisa Maendeleo ya Jamii Bi.Prisca Lyimo wakisikiliza semina ya Mradi Jumuishi wa watu wenye Ualbino.

                 Viongozi wa Kidini Kutoka Madhehebu mbalimbali nao wakisikiliza Semina Jumuishi katika Ukumbi wa Halmashauri.

Diwani wa Kata ya Katente Mhe.Bahati Kayagila akichangia mada katika semina ya Mradi Jumuishi wa watt wenye Ualbino amesema “Watu wenye Ualbino wana haki zote sawa na watu wasiokuwa na ualbino ni muda sasa wa kuendelea kupambana na watu wakatili  kila mmoja atoke humu na kusambaza elimu hii na tukawe wa fuatiliaji wa matukio haya ya kikatili” amesisitiza.

                                                                                        Kazi za Vikundi baada ya Kupewa maswali na muwezeshaji.


                                                                                                        Bi. Eliwaje Wa Dawati  la Jinsia wilaya ya Bukombe.

                Kazi ya Vikundi ikiendelea ambapo vikundi vine kwa awamu mbili zilijibu maswali ya mwezeshaji na kuwasilisha.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa