• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CHETI CHA PONGEZI CHAKABIDHIWA KWA MSIMAMIZI WA CBWSO- UYOVU

Imewekwa: February 10th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Makao Makuu amemkabidhi Shija Jonas cheti cha pongezi ikiwa ni kutambua mchango wake wa Uongozi bora na Ubunifu katika usimamizi mzuri wa Chombo cha  Watoa huduma ya Maji  Ngazi ya Jamii Uyovu. (CBWSO).

"RUWASA Makao Makuu imetambua ubunifu wako kwa kuhakikisha CBWSO ya Uyovu inafanya vizuri na wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama."

Cheti hicho cha pongezi kimetolewa katika kikao kazi robo ya pili ya mwaka 2023/2024 Mkoa wa Geita kilichofanyika Wilayani Bukombe tarehe 9 Februari, 2024 kikiwa na lengo la kubadilishana uzoefu ili kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya maji.

Sambamba na ugawaji wa cheti Nkumba alikabidhi pikipiki 3  zilizotolewa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Bukombe kwa Chombo cha Watoa Huduma ya Maji ngazi ya Jamii  Namonge, Runzewe Mashariki na Katome huku akitoa rai kwa  vyombo hivyo kuhakikisha pikipiki hizo zinatumika kwa malengo lililokusudiwa.

"Nataka kuona pikipiki hizi zinatumika kwa malengo lililokusudiwa ili wananchi wetu waweze kupata huduma bora na kufikia adhima ya serikali ya kumtua mama ndoo kichwani."

Vile vile Nkumba ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi katika Sekta ya Maji.

"Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi sana katika Sekta ya Maji, sisi kama Serikali tutahakikisha kuwa fedha hizi zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi.

Aidha ameipongeza RUWASA kwa kufanya kazi kwa uwadilifu na weredi mkubwa.

"Mmekuwa mkifanya kazi kwa uwazi na kujituma ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika ipasavyo kwa manufaa ya wananchi wote."

Kwa upande wake Meneja wa RUWASA  Mkoa wa Geita  Mhandisi Jabiri Kayilla amesema  Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini  itahakikisha inatoa huduma bora ya maji safi na salama ili kupambana na  magonjwa kama vile kipindupindu, kuhara, homa za matumbo ili kuzuia maafa na kuboresha afya za jamii kwa kiasi kikubwa.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa