• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Dawa za vitamini A kupewa kipaumbele

Imewekwa: February 6th, 2019

Mkuu wa Idara ya Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji Joseph Machibya kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya Lishe Wilaya ya Bukombe amemuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya kuhakikisha anaweka kipaumbele ununuzi wa dawa hasa za  vitamin A kwa ajili ya kuboresha afya za watoto chini ya umri wa miaka mitano katika ukuaji wao.

Wito huo  ameutoa katika kikao cha mapitio  ya shughuli za lishe kwa kipindi cha Julai – Disemba 2018 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauli tarehe 5 Februari, 2019.

Pia Machibya amemuagiza Afisa Lishe Wilaya kuhakikisha anawashirikisha wadau wote katika uandaaji wa bajeti 2019/2020  ili Halmashauri iwe na mpango mkakati mmoja utakao leta tija katika suala la lishe bora.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe Julai –Disemba 2018 Afisa Lishe Wilaya Ladislaus Willium Magaso alisema hadi kufikia Disemba 2018 IMA world Heaith ilitoa Tsh. 57,601,000/= kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe ambazo ni ufuatiliaji wa matumizi ya chumvi yenye madini joto, ukaguzi wa wafanyabiashara wa chumvi, kutembelea kaya zenye watoto chini ya umri wa miaka mitano ili kutoa elimu ya lishe bora, kufanya mikutano kwa wasimamizi wa wahudumu wa afya ngazi ya kijiji, kufanya mikutano ya  kamati ya uendeshaji wa shughuli za lishe ngazi ya Wilaya, uhamasishaji juu ya ulishaji sahihi wa watoto, kuwezesha wajumbe wa kamati ya Afya ya Wilaya kukusanya takwimu na ufuatiliaji wa zoezi la utoaji wa Vitamini A na dawa za Minyoo.

Kwa upande wake Katibu wa Afya Wilaya ya Bukombe Zacharia Isack alisema hapo nyuma kulikuwa na changamoto ya uchangiaji wa huduma za afya uliopelekea mapato ya huduma za afya kushuka, baada kuanzishwa kwa mfuko wa afya ya jamii (CHF iliyoboreshwa) tunategemea kuwepo kwa ongezeka kubwa la mapato ya ndani yatakayopelekea kuboresha maisha ya akinamama wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano kwa asilimia kubwa.



Mkuu wa Idara ya Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji Joseph Machibya akifungua kikao kwa niaba Mwenyekiti wa Kamati ya Lishe Wilaya ya Bukombe



Afisa Lishe Wilaya Ladislaus Willium Magaso akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe


Mwekahazina wa Wilaya ya Bukombe John Bernard Majubu akichangia mada wakati wa kikao



Baadhi ya wajumbe wa kamati ya lishe Wilaya


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa