• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC MURAGILI AFANYA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Imewekwa: July 25th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili amefanya ziara katika vijiji vya Nampalahala na Busonzo Kata ya Busonzo tarehe 24 Julai, 2025 kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wananchi huku akiwataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kilimo katika maeneo ya hifadhi.

Muragili amewataka wananchi hao kushirikiana kutunza maeneo ya hifadhi na kuacha kufanya shughuli za kilimo katika maeneo ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo-Kahama ili kutunza mazingira na rasilimali zilizopo kwaajili ya kukuza uchumi na pato la taifa.

“Hakuna anayeruhusiwa kulima wala kujenga katika maeneo ya hifadhi, hivyo hadi ifikapo tarehe 30 Novemba, 2025 wakulima wote wawe wamevuna mazao yao na asiruhusiwe tena mtu yoyote kuingia”

Aidha Muragili ameagiza kukutana na wafugaji wa Kata za Busonzo, Runzewe mashariki, Runzewe magharibi na Uyovu kwa lengo la kuzungumza nao ili kumaliza mgogoro wa wafugaji kulisha kwenye mashamba ya wakulima.

Mbali na kusikiliza kero za Wananchi, DC Muragili amewasisitiza wananchi wa kushiriki nguvu kazi katika ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili katika kijiji cha Nampalahala kwaajili ya kupunguza adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu.

Ziara hiyo ni muendelezo wa utaratibu wa Serikali katika kuwafikia wananchi na kutatua changamoto zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA MAELEKEZO

    August 04, 2025
  • “TWENDENI TUKAANZISHE UFUGAJI WA KISASA-DC MURAGILI”.

    July 29, 2025
  • DC MURAGILI AFANYA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    July 25, 2025
  • CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KUWANUFAISHA WAFUGAJI- DKT. KIJAJI.

    July 07, 2025
  • Tazama zote

Video

UMISSETA BUKOMBE WAAHIDI KURUDI NA USHINDI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa