• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC MURAGILI AWATAKA WAKULIMA KUWEKA AKIBA YA CHAKULA-BUKOMBE

Imewekwa: April 18th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili amewataka wakulima kuweka akiba ya Chakula cha kutosha kwa mwaka mzima badala ya kukimbilia kuuza kiholela.

Kauli hiyo ameitoa tarehe 18 April 2024 wakati akizungumza na Wananchi wa Kata ya Igulwa katika Ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi pamoja na kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo.

Mhe. Muragili amesema kila mkulima anapaswa kuweka akiba ya mazao yake yatakayo muwezesha kumfikisha katika msimu mwingine wa kilimo ili kuweza kuepukana na maswala ya njaa katika familia.

“Ni jambo la aibu kwa familia kukosa chakula na kuanza kuwa ombaomba, hatutarajii kusikia kilio cha chakula kwa Wananchi wetu”.

Muragili amesema kuwa baadhi ya wakulima wamekuwa wakipata tamaa ya kuuza mazao yao yote waliyovuna na baadae kuanza kulalamika kuhusu njaa na kuomba Serikali iwape msaada wa chakula.

“Tunzeni chakula chenu ila baadae bei ikiwa nzuri muweze kuuza mavuno yenu kwani mkifanya hivyo mtaona faida ya kilimo chenu”.

Aidha Mhe. Muragili amewasisitiza wakulima kutumia mbolea na kufuata njia bora za kilimo ili waweze kupata mazao yenye tija.

Vilevile katika ziara hiyo Muragili ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la OPD katika kituo cha Afya cha Igulwa ambacho kimejegwa kwa nguvu za Wananchi pamoja na mfuko wa jimbo, jengo hilo lipo katika hatua ya lenta na mradi umegharimu kiasi cha Shilingi 13,793,500/=

Pia Mhe. Muragili alipata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa shule maalum ya Awali na Msingi ya mchepuo wa kiingereza ya Bukombe Vision ambayo inajengwa na fedha kutoka mapato ya ndani.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga amemshukuru Mkuu wa Wilaya kufanya ziara katika Kata yake Kwani Wananchi wamepata fursa ya kutatuliwa kero zao.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa