• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba Atoa siku 14 Ukarabati Machinjio ya Katente.

Imewekwa: June 14th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba ametoa siku 14  kuhakikisha  Machinjio ya Katente inakarabatiwa na kuanza kufanya kazi ili wananchi waweze kupata huduma ya machinjio na nyama katika mazingira mazuri.

Maelekezo hayo ameyatoa leo tarehe 14 Juni, 2021 akiwa na Viongonzi wa halmashauri ya Wilaya ya Bukombe pamoja na Wataalamu baada ya Kamati ya Siasa  Mkoa kufunga kwa muda machinjio ya Mwalo tarehe 10 Juni, 2021 wakati wa ziara katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

"Machinjio ya Mwalo ipo bondeni hivyo wakati wa mvua mazingira yake kuyaweka katika hali ya usafi si shughuli nyepesi hivyo basi kwa kuwa halmashauri ilikwishajenga machinjio nyingine katika eneo la Katente natoa maelekezo kwa halmashauri kuhakikisha ndani ya siku 14 Machinjio ya Katente inafanyiwa malekebisho ili kuhamisha kabisa eneo la Mwalo lisitumike tena kama machinjio."

Aidha Nkumba ametoa maagizo kwa Meneja wa TANESCO Wilaya, Meneja wa RUWASA pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maji Mjini Ushirombo kuhakikisha huduma ya Umeme na maji inapatikana katika Machinjio mpya ya Katente.

Naye Mwenyekiti wa halmashauri Wilaya ya Bukombe Mhe. Yusuph Mohamedi Yusuph Diwani wa kata ya Bulangwa amesema

 "Tumeanza utekelezaji wa maelekezo ya Kamati ya Siasa Mkoa Chama Cha Mapindunzi kama tulivyoahidi"

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Dionis Myinga amemuhakikishia Mkuu wa Wilaya ya Bukombe kuyafanyia kazi maagizo  yaliyotolewa.

"Maelekezo uliyoyatoa tumeyapokea, tunakwenda kuyafanyia kazi na tutahakikisha tunasimamia kikamilifu masuala ya usafi katika machinjiyo hiyo mpya kwa ajili ya afya za wananchi wetu"

Kwa upande wake Afisa Mifugo Msaidizi Kata ya Mwalo Allyson Kinyunyu amesema Machinjio ya Mwalo inachinja ng'ombe 5 mpaka 6 kwa siku na halmashauri inapata mapato kiasi cha shilingi laki 7 hadi 8 kwa mwezi na shilingi Milioni 8 hadi 9 kwa Mwaka na siyo Milioni 300 kwa mwaka kama ilivyoelezwa  kwenye ziara ya kamati ya Siasa Mkoa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa