• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba awataka viongozi wa serikali kuwa waadilifu

Imewekwa: March 9th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amewataka viongozi wa Wilaya kuhakikisha wanakuwa waadilifu katika kusimamia shughuli za serikali kwa sababu makosa mengi ya rushwa yanasababishwa na ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa Umma

Nkumba aliyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya kikao kazi cha wajumbe wa kamati ya  Uadilifu, Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na wakuu wa Idara na Vitengo  wa Wilaya ya Bukombe kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya tatu (2017-2022) tarehe 8 Machi, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Nkumba aliwakumbusha viongozi hao kuhakikisha wanapambana na rushwa ili taifa libaki kwenye utaratibu na misingi mizuri ya kusukuma jitihada za serikaili. ”Palipo na rushwa hakuna utawala bora, palipo na rushwa serikali haiwezi kukusanya kodi, palipo na rushwa shughuli za serikali lazima zitakwama”.

Mratibu wa kitengo cha Utawala  Bora  na Maboresho kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI  Apolinarary Tamayamali alisema malengo ya mahususi ya Awamu ya Tatu ya Mkakati wa Taifa dhidi ya rushwa ni kuimarisha ufanisi, uwazi na uwajibikaji wa utoaji wa huduma katika sekta ya Umma na binafsi, kutekeleza kwa ufanisi mikakati ya mapambano dhidi ya rushwa, kuzijengea uwezo Taasisi simamizi za mapambano dhidi ya rushwa na kuwa na uongozi madhubuti wa kisiasa katika mapambano.

Akifunga kikao kazi hicho Katibu Tawala Wilaya Paul Cheyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya  aliwapongeza na kuwashukuru wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na TAKUKURU kwa mada nzuri walizowasilisha ili kuhakisha kamati ya maadili  Wilaya inapambana na rushwa.


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba (mwenye nguo nyeusi katikati) akiwa na washiriki wa mafunzo pamoja na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na TAKUKURU.



Kamanda wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  Wilaya ya Bukombe David Ndyamukama akiwasilisha mada .




Washiriki wa kikao kazi wakipata maelekezo kutoka kwa Mratibu wa kitengo cha Utawala  Bora  na Maboresho Apolinarary Tamayamali (aliyesimama) jinsi ya kuandaa  mpango kazi kwa ajili ya utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya rushwa Awamu ya Tatu.




 Mratibu wa kitengo cha Utawala  Bora  na Mboresho Apolinarary Tamayamali kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI akielezea historia ya mapambano dhidi ya rushwa hapa nchini

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa