• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba nialikeni nipo tayari kulala hapa

Imewekwa: July 29th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba amewaambia wananchi wa kijiji cha Namalandula kuwa yupo tayari kulala siku mbili kijijini hapo kwa ajili ya ukamilishaji wa jengo la zahanati na vyumba vitano vya madarasa katika shule ya msingi Namalandula.

“Nipo tayari kulala kijijini hapa kwa ajili ya kushiriki  ujenzi wa miradi ya maendeleo. Nialikeni nipo tayari kulala.”

Nkumba ameyasema hayo jana tarehe 28 Julai, 2020 alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika kata ya Namonge kijiji cha Namalandula na kujionea wananchi walivyojitolea na kuhakikisha zahanati ya Namalandula inajengwa.

“Majibu ndiyo haya tunaposema tushirikishe wananchi katika kuchangia miradi ya maendeleo.”

Pia amewawapongeza wananchi kwa kushiriki kikamilifu katika uchangiaji wa fedha za miradi ya maendeo.

“Hongereni sana kwa ushiriki wenu mzuri mliouonyesha katika kuchangia miradi ya maendeleo. Kazi kubwa mmeifanya nyinyi wenyewe mkilinganisha na fedha mlizozipata kutoka serikalini.”

Naye Mtendaji wa kijiji cha Namalandula Abel Peter amesema jumla ya fedha iliyotumika kuanzia msingi hadi hatua ya upauaji ni shilingi 18,913,800/=, mfuko wa jimbo shilingi 900,000 na halmashauri ilitoa mabati 220.

Afisa Mipango wa Wilaya Sylvia Rwehabura alisema kuwa miradi yote inayoibuliwa na kutekelezwa  kwa nguvu za wananchi halmashauri ipo tayari kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji.

Miradi mingine iliyotembelewa na Mkuu wa Wilaya ni pamoja na Ujenzi wa matundu 17 ya vyoo shule ya msingi Nasiluluma na ujenzi wa kituo cha afya Namonge.


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba akiongea na uongozi wa kijiji cha Namalandula.


Afisa Mipango wa Wilaya ya Bukombe Sylvia Rwehabura akichangia mada.


Jengo la Zahanati ya kijiji cha Namalandula.


Baadhi ya majengo ya vyumba vya madarasa shule ya Msingi Namalandula yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi.


Uchimbaji wa Msingi wa Maabara kituo cha afya Namonge.

Upakaji rangi ukiendelea jengo la Mama na Mtoto kituo cha afya Namonge.


Mtendaji wa Kata ya Namonge  Charles John akimuonyesha mipaka ya kituo cha afya Namonge Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Said Nkumba.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa