• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

“Halmashauri shughulikieni malalamiko ya Walimu” DC Nkumba

Imewekwa: October 9th, 2018

 Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani kimkoa yamefanyika Wilayani Bukombe tarehe 5/10/2018 huku mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba.       Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba ameitaka Halmashauri kushughulikia malalamiko yote ya Walimu hususani kuhusu upandishaji madaraja, vitambulisho kwa walimu na mazingira rafiki kwa walimu ambayo yalisomwa kwenye risala iliyowasilishwa na Katibu wa Chama cha Walimu Tawi la Bukombe Ndugu Zephania Sabuni.

Aidha Mkuu wa Wilaya amewasisitiza walimu kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya Ualimu na kuacha kujihusisha na vitendo ambavyo havina sifa nzuri kwa walimu, ”Mimi nilikuwa Mwalimu kabla sijawa Mbunge kwa Miaka 15 na Sasa ni Mkuu wa wilaya, nilizingatia maadili ya utumishi wa ualimu ndiyo maana nimefika hapa nilipofika” alisema Mkuu wa wilaya.

Katika Maadhimisho hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Joseph Machibya amesema sasa walimu Wilayani Bukombe kupata Vitambulisho katika Mwaka wa fedha 2018/2019 “Lalamiko hili limekuwa la muda mrefu lakini kwakuwa tulikuwa tunatekeleza miradi ya Maendeleo ya jamii tukaona sasa umefika wakati wa kuhakikisha kila mwalimu anapata Kitambulisho kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wa Halmashauri “ alisema Kaimu Mkurugenzi.

Naye Afisa Utumishi Grevas Nkononziku amesema Halmashauri inasubiria kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi wa Umma sababu walisitisha kwa ajili ya uhakiki wa vyeti 2016, ila sasa Halmashauri imepokea kibali cha kupandisha madaraja kwa watumishi wote waliojiendeleza tu kwa lugha ya kigeni(Recatogarization). Pia Afisa Utumishi aliongeza kuwa watumishi waliokuwa wamepanda madaraja lakini zoezi hilo likasitishwa 2016, wameanza kupandishwa madaraja tena baada ya kupokea kibali toka Ofisi ya Utumishi wa Umma ambapo watapandishwa kwa awamu.

Katibu wa TSC Ndugu Francis Sungura amewataka walimu kuendelea kuchapa kazi kwa kufuata maadili ya ualimu bila kushiriki vitendo ambavyo vitahatarisha ajira yake na kuweka dosari mbaya katika taaluma makini ya ualimu, “Walimu wa kiume kujihusisha kimapenzi na wanafunzi hili ni kosa lisilokubalika kabisa katika maadili ya ualimu hata ya kijamii, tuzingatie maadili yetu walimu” alisema Sungura


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa