• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe yaanzisha madarasa lishe

Imewekwa: January 21st, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kupitia shirika la IMA World Health inatekeleza mpango wa mabadiliko chanya ya  afya  na lishe kuanzia watoto wenye umri chini ya miaka 5  kwa kuanzisha  madarasa lishe katika  kata ya Bugelenga vijiji vya Bufanka, Bugelenga, Mkange na Msasani lengo likiwa ni kuhakikisha watoto wote wanapata uzito unaostahili kulingana na umri wao ili kupata jamii yenye watoto  werevu.

Hayo aliyasema Afisa lishe wa Wilaya ya Bukombe Ndg. Ladislaus Willium Magaso  wakati akitoa taarifa ya upimaji wa watoto katika kikao cha kamati ya lishe ya Wilaya kilichofanyika  tarehe 19 Januari, 2019 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Ndg. Ladislaus alisema mpango wa Halmashauri ni kuhakikisha vituo vyote vya kutolea huduma za afya vinaanzisha madarasa lishe kwa ajili ya kupunguza changamoto inayowakabili watoto chini ya umri wa miaka 5 kwa kuwa mpaka sasa jumla ya watoto 227 katika kata ya Bugelenga waliopimwa uzito kati yao watoto 113 wanalishe bora na watoto 114 wanautapiamlo (unauzito pungufu kulingana na umri wao).

Pia amewaomba mafisa elimu Msingi na Sekondari kuhakikisha wanawasisitiza wakuu wa shule pamoja na walimu wakuu kuanzisha mpango wa chakula shuleni  ili  wanafunzi waweze kupata chakula bora wakiwa shuleni.

Akichangia taarifa ya kampeni ya utoji wa vitamin A katika kikao hicho Mratibu wa chanjo Wilaya Ndg Simon Misusi alisema kupitia mpango wa kumfikia kila mtoto kwa chanjo wameweza kuhamasisha vituo kumi ambavyo ni hospitali ya Wilaya ya Bukombe, kitu cha Afya Uyovu, Ikuzi, Ushirombo, Iyogelo, Bugelenga, Mienze, Bukombe pamoja na Bugando na kuhakikisha watoto wote kuanzia miezi 6 hadi miezi 59 wanapata  vidonge vya vitamin A pamoja na dawa za minyoo.

Akihitimisha kikao hicho  Mkuu wa Idara ya Kilimo Ndg. Joseph Machibya kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji aliwaomba wajumbe kuhakikisha  wanaweka shughuli za lishe kwenye bajeti ya  mwaka wa fedha 2019/2020 ili kupata  watoto wenye afya njema ambao watakuwa viongozi kwa siku za baadaye.


Afisa lishe wa Wilaya ya Bukombe Ndg. Ladislaus Willium Magaso akitoa taarifa ya upimaji wa watoto

Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya lishe Wilaya

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa