• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

''Hongereni Bukombe kwa usimamizi wa kizalendo''

Imewekwa: October 9th, 2021

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Luteni Josephine paul Mwambashi ametoa pongezi kwa Uongozi wa Wilaya kwa usimamizi wa kizalendo katika mradi wa Mfumo wa GoTHoMIS Lite uliogharimu kiasi cha shilingi Milioni 54.

Pongezi hizo amezitoa leo tarehe 9 Oktoba, 2021 wakati wa kuona Matumizi sahihi ya TEHAMA katika mfumo mpya wa GoTHOMIS Lite.

"Hongereni sana kwa usimamizi wa kizalendo kwani mradi huu utasaidia kutunza kumbukumbu za wagonjwa kwa njia ya kielektroniki na kuongeza mapato ya hospitali"

Aidha ameutaka uongozi wa Wilaya kuhakikisha mfumo huo unafungwa kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya.

Akisoma taarifa za mradi huo Mganga Mfawidhi Dr.Range Nyamhanga amesema mradi huo umesaidia kuongeza mapato ya hospitali, umeimarisha udhibiti wa matumizi ya ugawaji dawa kwa wagonjwa, umepunguza muda wa kutoa huduma kwa mteja, umepunguza gharama ya matumizi ya karatadi pamoja na wino na umeimarisha utunzaji wa kumbukumbu na taarifa za wagonjwa pamoja na fedha za makusanyo.

Mwenge Maalumu wa uhuru 2021 umezindua mradi wa maji Buganzu, vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Uyovu, klabu ya wapinga Rushwa, klabu ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya, umeona mapambano dhidi ya Maralia, mradi wa uzalishaji mali wa kikundi chaVijana cha Runzewe Youth Innitiative Group, uendelevu wa ujenzi wa barabara ya lami Ushirombo Mjini, matumizi ya TEHAMA na kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa kiwanda cha kuchakata na kufungasha mazao ya nyuki.

Mwenge wa Uhuru Wilayani Bukombe umezunguka kilometa 86 na kuzungukia miradi 10 ya wananchi.

Kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021 ni "TEHAMA ni Msingi wa Taifa endelevu; Itumie kwa usahihi na uwajibikaji."




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa