• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tutambue ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi ni kichocheo kizuri maendeleo ya nchi.

Imewekwa: June 23rd, 2017

Leo wilayani Bukombe jukwaa la uweszeshaji wanawake kiuchumi limezinduliwa rasmi.

Ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi huleta mabadiliko makubwa sana ngazi ya familia,jamii na nchi kwa ujumla, wanawake wengi hawapati fursa kutosha za kiuchumi hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwasababu ya kutokuwa na usawa wa fursa,uwezo wa kupata mitaji,ajira na baadhi ya maeneo ya malipo ya kazi kwa wanawake kutokuwa sawa na wanaume.

Ni muhimu kwa jamii kuondoa matabaka,kuwa na sheria ambazo zitasaidia kuondoa ubaguzi wa kiuchumi kwa wanawake na huleta  maendeleo ya usawa katika pato la Taifa, jamii na kwenye familia. Vile vile, Uwezeshaji wanawake kiuchumi ni muhimu ili kuhakikisha malengo ya maendeleo endelevu pamoja na yale ya 50/50 ya dunia yanafikiwa ifikapo 2030, Sasa hili kutimiza malengo haya Mhe.Makamu wa Rais ameagiza kuwepo kwa majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi katika Mikoa na Halmashuri zote za Tanzania.

Lengo la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi  ni kukutana na kujadiliana fursa, changamoto na jinsi ya kushiriki kikamilifu katika biashara na shughuli zingine za kiuchumi. Pia kuongeza uelewa wa wanawake katika uchumi, biashara, upatikanaji wa mitaji, sheria za nchi katika masuala ya kiuchumi na jinsi ya kujitegemea kiuchumi. Katika uzinduzi huu wajumbe kutoka sekta mbalimbali wamehudhuria watumishi wa Serikali, asasi za kiraia, kidini, wadau wa maendeleo yani mashirika wahisani, taasisi za fedha pamoja na taasisi za biashara.

Mgeni Rasmi  Ndugu Ally Mketo Afisa Tawala kwa naiba ya Mkuu wa Wilaya katika uzinduzi huu ameomba wanawake kufanya kazi kwa pamoja katika kuendesha mijadala ya jukwaa na kutumia fursa mbalimbali zilizopo ili kuweza kujikwamua kiuchumi kwa pamoja, "Jukwaa hili liwe la wanawake wachapa kazi,wanaojua kututumia fursa zilizopo kujikwamua kiuchumi,kila mwanamke kupitia jukwaa hili anatakiwa ashiriki kwenye biashara na ucumi ili kuweza kutengeneza jukwaa la uweszeshaji wanawake kiuchumi kuwa mara" amesema Mketo.

 

Wanawake wakishangilia uzinduzi wa jukwaa la uwezeshaji waanwake kiuchumi.

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Jukwaa la uweszeshaji wanawake kiuchumi.

Wagombea wakiomba kura ili kupata Mwenyekiti na kamati nzima ya Jukwaa la Wanawake wilaya.

                                Kura zikihesabiwa na Mratibu wa Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi ngazi ya Mkoa pamoja na Mratibu wa wilaya.

Wagombea wakishuhudia nämna kura zinavyohesabiwa.

  Wanawake wa Jukwaa wakishangilia kumpata Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji wanawake Kiuchumi Wilaya ya Bukombe.

Kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Bi. Leticia Maurice aliyechanguliwa na Kushoto ni Makamu Bi.Veronika Lukuba

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa