• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kawafundisheni Wengine Ili Kuleta Mabadiliko Ya Kiuchumi - DED Lutengano

Imewekwa: September 7th, 2023


 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe amewataka vijana waliopata mafunzo kuhusu Teknolojia ya  utengenezaji wa vihenge vya chuma (metal Silo) kuhakikisha wanatoa ujuzi kwa vijana wenzao ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi ndani na nje ya wilaya ya Bukombe.

 Maagizo hayo ameyatoa leo tarehe 7 Sept, 2023 wakati wa ugawaji wa vifaa vya uchomeleaji na uungaji vyuma vilivyotolewa na VETA kwa kushirikiana na Wizara ya kilimo kupitia Mradi wa TANIPAC.

 Aidha Lutengano amewataka wananchi kutumia vihenge hivyo kwa ajili ya kuhifadhi mazao ili yasiathiriwe na Sumu Kuvu ( fungus) ambao wanasabisha kansa kwa binadamu na wanyama wanapokula mazao yenye vimelea vya Sumukuvu. 

 Vile vile Mhandisi Kapele Kisembe kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) amesema,  VETA ilitekeleza jukumu hilo kwa ufanisi kwa kutoa mafunzo kwa vijana 420 kati ya 400 kutoka katika mikoa 10 waliotarajiwa kunufaika. Vijana walionufaika na mafunzo hayo ni kutoka kwenye maeneo yaliyobainika kuwa na athari ya Sumukuvu ikiwemo Wilaya ya Bukombe.

Naye Kaimu wa Divisheni  ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (W) Joseph Machibya amesema Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ni wilaya iliyobahatika kupata mafunzo hayo na  jumla ya vijana 20 wamenufaika na mafunzo kutoka katika tarafa zote 3 ambazo ni Bukombe, Siloka na Ushirombo.

David Simoni ambaye ni mnufaika wa mafunzo hayo kutoka katika kata ya Katente  kwa niaba ya vijana wenzie amemshukuru Mhe. Rais DKT. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kupata mafunzo pamoja  na kugawiwa vifaa vya uchomeleaji.

 "Tumepewa vifaa hivi ili tukafanye kazi kulingana na maelekezo tuliyopewa na serikali. Vifaa hivi tunaahidi kuvitunza na kuvitumia vizuri ili kuweza kupambana na Sumukuvu."

Ugawaji wa vifaa hivyo ulizinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  tarehe 8/8/2023 katika kilele cha Maonesho ya Kilimo Nanenane Jijini Mbeya.


 Imetolewa na:-

 Kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

 Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Tarehe 07/09/2023.




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa