• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kiasi cha shilingi bilioni 3.4 chapitishwa kufanya matengenezo ya barabara wilayani Bukombe.

Imewekwa: January 26th, 2022

Baraza la Waheshimiwa Madiwani Wilayani Bukombe tarehe 25 Januari, 2022 limepitisha bajeti ya shilingi Bilioni 3.4 kwa ajili ya matengenezo ya barabara zenye urefu wa km 134.47, kujenga makalavati 81 na kujenga mtaro ya maji wenye urefu wa km 1.2 na barabara ya AICT ( Mangabe) katika kipindi cha mwaka 2022/2023.

Meneja wa TARURA Wilayani Bukombe Mhandisi Henrico Shauri amesema katika Bajeti ya mwaka 2022/2023 mfuko wa barabara - Matengenezo unatarajia kutumia kiasi cha shilingi 781,030,000/= Tozo za mafuta kiasi cha shilingi 1,000,000,000, Mfuko wa Jimbo kiasi cha shilingi 500,000,000/=na fedha za maendeleo kiasi cha shilingi 1, 136,400,000/=.

Naye Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukombe Danieli Machongo amewataka wataalamu kutoka ofisi ya TARURA kuhakikisha wanazisimamia barabara hizo kwa uaminifu na uadilifu mkubwa.

" Hakikisheni mnazisimamia barabara hizi kwa uaminifu na uadilifu mkubwa ili ziweze kutatua changamoto na kuleta tijakwa wananchi wetu."

Akiongea katika kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Lutengano Mwalwiba amewataka TARURA kuhakisha wanashirikiana na Halmashauri wakiwemo Waheshimiwa Madiwani katika kutekeleza miradi hiyo.

" Washirikisheni Waheshimiwa Madiwani katika utekelezaji wa miradi yenu kwani kwa kufanya hivyo miradi yetu italeta tija katika kuibua vipaumbele vya wananchi katika maeneo yao."

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe Yusuph Mohamed Yusuph amesema Waheshimiwa Madiwani wataendelea kushirikiana na TARURA ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Wakala wa barabara Vijijini na Mijini - Tanzania Wilayani Bukombe unasimamia mtandao wa barabara zenye urefu wa km 1,309.47 ambazo km 3.07 ni barabara za Lami, km 203.9 changarawe, km 1102.52 udongo na barabara zenye hali nzuri ni asilimia 25.71, hali ya wastani ni asilimia 8.58 na hali mbaya ni asilimia 65.71.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa