• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojili Tarehe 22 Oktoba, 2021

Imewekwa: October 23rd, 2021

Maandalizi ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 107 kwa Shule za Msingi na Sekondary kwa Wakuu wa Idara,Maafisa Tarafa,Watendaji wa Kata,Waratibu Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu leo 22 Oktoba 2021.

MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE MHE.SAID NKUMBA  

#Nimeitisha kikao kazi hiki ili tupeane maelekezo ya pamoja ya utekelezaji wa ujenzi wa madarasa katika shule zetu za msingi na sekondari na asiwepo mtu yoyote ambaye atakwenda kinyume na maelekezo/ miongozo tunayoelekezana.

 #Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha zaidi ya kiasi cha shilingi Bilioni 2.1 za ujenzi wa vyumba vya madarasa 107 kwa shule shikizi 43 na sekondari 64 

#Twende tukaamshe mioyo ya wananchi ya kujitolea.

#Tukifanya hivyo tutapunguza gharama za ujenzi. Hivyo tutakuwa na uwezo wa kujenga vyumba vingi vya madarasa ambavyo vitatusaidia kupunguza changamoto ya upungufu katika shule zetu. 

#Tuwe na ushirikiano wa pamoja na viongozi kuanzia ngazi ya kitongoji / kijiji mpaka Tarafa.

#Twende na moto wetu ule ule wa utekelezaji wa miradi yetu ya maendeleo ambayo tumetekeleza kwa ubora na gharama nafuu iliyotuwezesha kufanikiwa kujenga vyumba vingi zaidi kuliko pesa tuliyoletewa katika miradi hiyo. 

 #Kazi ambazo wananchi wanaweza kuzifanya wakazifanye kulingana na maeneo yao kwa lengo la kupunguza gharama. 

#Tunatakiwa tukabidhi kazi ikiwa na ubora na pasipo shaka sambamba na nyaraka zote muhimu ziifadhiwe kwenye mafaili husika.

#Naendelea kuwasihi sana, mkawe na nidhamu kubwa sana kwenye fedha hizi. 

#Yoyote atakayejihusisha na jambo lolote ambalo linatia mashaka na matumizi ya fedha hizi nitaanza naye na mambo mengine yatafuata baadaye.

#Kamati zote tatu za ujenzi zifanye kazi kwa uadilifu. 

#Wale ambao watasimamia kazi vizuri tutaangalia namna bora ya kuwamotisha.

#Tunataka kazi ziende kwa kasi kubwa. 

#Kila kitu kiwe wazi na mkashirikishe watu wote.

#Tumieni "local" Fundi mnaowajua na wachapakazi lakini msiweke mafundi wababaishaji. 


MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE LUTENGANO MWALWIBA.

#Miundombinu hii ni mikubwa sana. Sisi kama Wilaya kwa fedha zetu za ndani ingetugharimu miaka 4 - 8 kuikamilisha.

 #Lazima tujipange na tujizatiti sawa sawa. 

#Muda wa kufanya kazi hii ya ujenzi wa madarasa ni mpaka tarehe15 /12/2021, majengo yote yawe yamekamilika.

 #Tutafanya kazi zaidi ya muda wa kawaida, ikibidi mpaka usiku. 

Imetolewa na :-

 Kitengo cha TEHAMA 

Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Tarehe 22 Oktoba, 2021.  #Twende tukawashirikishe na kuwahamasisha wananchi katika kila jambo.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa