• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kikundi cha Runzewe Youth Innovative chapatiwa soko.

Imewekwa: November 17th, 2021

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mlezi wa Mkoa wa Geita Kanali Mstaafu Ngemera Lubinga imeitaka halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kuhakikisha kikundi cha Runzewe Youth Innovative kinapatiwa soko la usambazaji wa bidhaa za mikanda ya Jipsam katika miradi yote inayotekelezwa na serikali ndani ya Wilaya ya Bukombe.

"Hawa vijana ni wabunifu sana, wanatengeneza bidhaa nzuri, halmashauri ihakikishe inawashika mkono kwa kununua bidhaa zao."

Hayo ameyasema tarehe 16 Novemba, 2021 katika ziara yake ya siku ya kwanza Wilayani Bukombe.

Akisoma taarifa ya mradi Katibu wa kikundi hicho Dickson Japhet amesema halmashauri iliwapa mkopo wa shilingi Milioni 11.7 na mpaka sasa kina mtaji wa shilingi Milioni 18.7 hivyo kimeweza kupunguza adha ya wananchi kufuata huduma mbali na kimeongeza ajira kwa vijana.

Akikagua ujenzi wa vyumba  sita vya madarasa vinavyogharimu kiasi cha shilingi Milioni 120 kwa ajili ya Mpango wa Maendeleo na Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika shule tarajali ya sekondari Azimio kanali Lubinga amewapongeza wanauyovu kwa moyo wao wa kizalendo wa kuchangia miradi ya maendeleo.

"Hongereni sana Wanauyovu japo serikali imeleta fedha lakini bado mkaamua kushirikisha nguvu zenu hongereni sana."

Aidha amewataka Wanauyovu kuhakikisha wanajenga hosteli ili kuweza kupambana na mimba za utotoni kwa baadhi ya wanafunzi wa kike.

Kanali Mstaafu Ngemera Lubinga ambaye ni Mlezi wa Mkoa wa Geita ana ziara ya Siku mbili katika halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa