• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Liwe Jua Iwe Mvua mpaka miradi ikamilike."

Imewekwa: November 10th, 2021

"Tunataka miradi yetu ikamilike kwa wakati ili iweze kuwaletea wananchi manufaa iwe mvua liwe jua."

Hayo yamesemwa leo tarehe 9 Novemba, 2021 wakati kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ilipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Pia kamati hiyo imemuelekeza Afisa Manunuzi Silasi Manoni kuhakikisha anafuatilia kwa nguvu zote ununuzi wa kifaa kilichohalibika kwenye kisima cha Machinjio ya Katente ili kisima hicho kianze kutoa maji na machinjio ya katente iweze kutoa huduma kwa wananchi.

"Tunataka machinjio yetu ianze kufanya kazi ili tuwe tumetekeleza azimio la kamati ya siasa ya Mkoa. kifaa kilichohalibika kwenye kisima cha maji Afisa manunuzi kifuatilie na itakapofika mwishoni mwa mwezi Novemba, 2021 machinjio ianze kutoa huduma kwa wananchi."

Aidha kamati imemuagiza Fundi Sanifu Majengo Neema Makala kuhakikisha ukarabati wa choo cha soko la Ushirombo unakamilika mara moja ili chanzo hicho kiweze kuiongezea halmashahui mapato.

Wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa kituo cha Afya Bufanka kamati imeshauri kuwa Afisa Manunuzi Silasi Manoni na Mweka Hazina Wilaya Majubu John kuhakikisha wanawalipa wazabuni fedha zao kwa wakati ili waweze kuendelea kutoa huduma kwani kwa kufanya hivyo miradi yote itaendelea kusonga mbele.

Vile vile kamati imeupongeza Uongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Bukombe kwa kuanzisha mradi wa Mashine ya kufyatulia matofali kwani mradi huo utasaidia kuiongezea halmashauri mapato na imeshauri kuwa Mkurugenzi mtendaji aongeze watalaamu wa kufyatua matofali pamoja na vibarua ili uzalishaji uweze kuongezeka.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Mashine ya kufyatulia tofali Ushirombo, Ukarabati wa choo cha soko Ushirombo, ukamilishaji wa ujenzi wa Maabara Zahanati ya Bukombe, Ujenzi wa kituo cha Afya Bufanka na ukarabati wa machinjio ya Katente.

Acram Issa Ulungu Mtendaji Mkuu kutoka Central Park Bees Limited amemuahidi Mkuu wa Wilaya ya Bukombe kufanya kazi kwa uwaminifu na kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati.

" Mkuu wa Wilaya hatutakuangusha tunaahidi kuipendezesha Bukombe.Tunaahidi kufanya kazi kwa uwaminifu mkubwa na tutahakikisha mradi unakamilika kwa wakati."





Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa