• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maadhimisho ya wiki ya chanjo wilayani Bukombe.

Imewekwa: April 30th, 2017

Halmashauri ya wilaya ya Bukombe imeadhimisha wiki ya chanjo kitaifa kwa kuwashirikisha wazazi wote wilayani kwa kutoa chanjo kwa watoto wenye umri wa chini ya mica metano,ambapo Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto kupitia ujumbe wa wiki ya chanjo unaosema "Chanjo hukinga kila itu,"pata chango " zambomba na kauli mbiu ya mwaka huu inayosema kuwa "Jamii iliyochanjwa ni Jamii yenye Afya". Hivyo kupitia wiki hii ya chanjo ya kitaifa, vituo vote vinavyotoa huduma za chanjo vilikuwa wazi kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni kila siku hadi tarehe 30 April 2017.

Lengo la maadhimisho ya wiki ya chanjo ambapo Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Josephat Maganga amezindua rasmi ni kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo katika kukinga magonjwa na kuepusha vifo vya watoto vitokanavyo na magonjwa yanayozuilika kwa chanjo,vilevile kuhimiza familia kupeleka watoto wote wanaostahili kupata chanjo katika vituo va kutolea huduma za afya ya mama na moto. Aidha katika mwezi huu wa une 2017 wilaya ya Bukombe ilikuwa na walengwa ambao ni watoto waliochini ya umri wa miaka 5 wapatao 892. Kati  ya walengwa has walianza kupata chanjo lakini walikuwa bado hawajakamilisha chanjo ya Penta 3, na MR2. Hivyo watoto note walipaswa kukamilisha chanjo hizo. Chanjo zote zimesambazwa kwenye zahanati na vituo vya Afya wiki moja kabla ya zoezi kuanza.

Katika zoezi hili," Wananchi wamehamasika sana na wazazi wameleta watoto ili waweze kupatiwa chanjo stahiki,katika siku zote za wiki ya change wilaya imefanikiwa kuchanja BCG watoto 123 sawa na 14% , POLIO 3 Watoto waliochanjwa 812 sawa 91%, PENTA 3 natoto waliochanjwa 812 sawa na 91%, PCV 3 natoto waliochanjwa 812 na 91%, ROTA 2 natoto waliochanjwa 938 sawa na 105%, SURUA RUBELLA 1 watt  waliochanjwa 716 sawa na 80%, SURUA RUBELA 2 natoto waliochanjwa 678 na 76%."Amesema Mratibu wa chanjo wa wilaya Simon Misuzi.

Aliongeza Mratibu kuwa katika mafanikio changamoto hazikosekani ikiwa ni pamoja na uchache wa vituo vya kutolea huduma za Afya na chanjo, Umbali wa maeneo hivyo kufanya wazazi na walezi washindwe kuwaleta watoto kupata chanjo kwa wakati,Upungufu wa sindano (syringes) za BCG kwa baadhi ya zahanati na vituo vya Afya hivyo kupelekea watoto wengi kutopata chanjo ya BCG.

                                                                                                                                               Mratibu wa Chanjo wa Wilaya ya Bukombe Bwana Simon Misuzi.


Pichani ni Chumba cha kuhifadhi dawa za Chanjo (PENTA,BCG,TTV,MR2,PCV).

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa