• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Maafisa elimu kata fanyeni kazi hakuna tena kisingizio" DC Nkumba

Imewekwa: August 13th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba leo amewakabidhi waratibu elimu Kata piki piki 17 huku kila Afisa Elimu Kata akipata Jikipiki Moja(1),pikipiki hizo zimetolewa na Serikali Kupitia program ya Kusoma,Kuandika na Kuhesabu katika Shule za Msingi, lento la kupatiwa Vitendea Kazi hihi ni kurahisisha utendaji kazi wa waratibu hawa kufika katika Shule zote zilizopo Endani ya Kata yake ili kuhamasisha ujenzi wa kiundombinu,kusimamia utoro wa Wanafunzi shuleni, “Vitendea Kazi hivi pia vikawe chachu ya usimamizi wa karibu kwa walimu na wanafunzi hivyo kupelekea Matokeo Mazuri ya Darasa la Saba”Alisema DC Nkumba

Pia amewataka maafisa elimu  kata kuacha kukaa ofisini badala yake kuhakikisha wanatembelea shule zote zilizo ndani ya kata zao ili kutimiza lengo la vifaa hivo walivyopatiwa na serikali, "nitashangaa nikija kutembelea kata fulani eti nikamkuta afisa elimu ofisini wakati nimepata ripoti za watoto watoro na mimba shuleni, na pikipiki hizi zikatumike muda wa kazi za serikali na sio kwenda mwenye mambo binafsi ambayo yanaweza haribu kitendea kazi hivyo kushindwa kutimiza lengo husika" alisema DC Nkumba.

Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ndugu Joseph Machibya amemuahidi Mkuu wa wilaya kuwa atahakikisha vitendea kazi hivi walivyopatiwa maafisa elimu kata vinatumika kwa lengo lililokusudiwa, na afisa elimu kata yoyote abbaye atashindwa kutimiza lento husika na kutumia kitendea kazi hiki kwa malengo yake binafsi atachukuliwa hatua za kinidhamu mara tu atapobainika kwenda kinyume na makusudi ya vitendea kazi hivi ambavyo watumishi wa kada nyingine pia wanazihitaji sana.

Mmoja wa maafisa elimu kata ndugu Alex Nkingwa ambaye ni afisa elimu kata ya Iyogelo, amesema amefurahishwa sana na namna ambavyo serikali ya wamu ya tano inavyojali watumishi hususani wale wa katana ambao shughuli zao nyingi ni za kusimamia shule zote za ndani ya kata ambazo zipo mbalimbali sana, "awali kabla ya kupatiwa usafiri huh wa pikipiki tulikuwa tungpanda baiskeli au kutumia fedha nyingi na kukodi pikipiki ili zikuzungushe kijiji chote au kata note ili usimamie ufundishaji na wanafunzi kwa ujumla, hali ambayo ilikuwa ngumu sana hivyo kusababisha kupelekea usimamizi hafifu, ila sasa tunaahidi mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu" alisema Afisa elimu kata

Mwaka jana Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ilishika nafasi ya 3 Kimkoa na Kitaifa nafasi ya 17, kwa vitendea kazi hivi Wananchi wa Bukombe wategemee matokeo mazuri zaidi” alisema Kabanga Afisa elimu msingi, wilaya ya Bukombe ina Jumla ya Kata 17 na Shule za Msingi 78.


                                                                      Maafisa elimu kata wakiwa na pikipiki walizokabidhiwa.

Mkuu wa wilaya aliyeshika elementi akiwakabidhi Maafisa elimu pikipiki.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa